Hizi taasisi bila mjomba na mganga anayeeleweka hupati kazi

Hizi taasisi bila mjomba na mganga anayeeleweka hupati kazi

Sijui nikupangie hata taasisi bora ? Utashangaa sana hasa hapo ni 4 tu za maana ...

TISS ni ndoto na watu wanapata wanachomolewq tu kweny ofisi yeyote kutokana na nidhamu zao...Wanapelekwa mafunzo.

Uzuri wa TISS ni mmoja pesa za kutosha kazi chache ...Mda wa free ni mwingi ukipata tasks nzito ujue kuna posho za ziada.
Unasababisha vijana wa JF mate yawatoke.
 
Watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara.

Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.

Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini

1. TRA
2. BOT
3. DCEA
4. TISS
5. IMMIGRATION
6. NBS
7. TFRA
8. HAZINA
9. WORLD VISION
10. TCRA
11. DANISH REFUGEE COUNCIL
Mie bot naandaa hela Mr Kennedy na madam salama ninao🙏mie mfipa,wajiandae🙏🙏
 
Watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara.

Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.

Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini

1. TRA
2. BOT
3. DCEA
4. TISS
5. IMMIGRATION
6. NBS
7. TFRA
8. HAZINA
9. WORLD VISION
10. TCRA
11. DANISH REFUGEE COUNCIL
Mdogo wangu anafanyakazi katka moja ya hizo taasis, hakuwa na connection, Godfather na wala hakwenda kwa mganga
 
Tafuta kazi UN, balozi za ulaya, makampuni ya simu, kuna kampuni ndogo nyingi mjini, zinalipa mpunga mrefu kuliko hata mgodini,nimekutana na jamaa, anafanya kazi za kutumia cranes, winch, ni operator wa cranes, analipwa 6M! Posho nje ya kituo 100K per day! Huo mpunga sio haba!hipo migodi watu wanalipwa 15M!
Usikalili majina ya BOT, yapo machaka kibao yenye mpunga mrefu, we tafuta ujuzi wako uupendao, na ubobee saaaana, utakula mema ya nchi
 
Watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara.

Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.

Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini

1. TRA
2. BOT
3. DCEA
4. TISS
5. IMMIGRATION
6. NBS
7. TFRA
8. HAZINA
9. WORLD VISION
10. TCRA
11. DANISH REFUGEE COUNCIL
Chai
 
never give up
 
Kama ipo ipo tu... na kama haipo haipo tu!

Wengine mamikosi na kutazamwa macho mabaya tangu wadogo kunawapa mikosi na manyota kufifia tangu wadogo... imagine familia yenu kwenye ukoo peke yako ndo upate shahada, wale ndugu lawama watakutazamaje?

Baraka na mamikosi na mabahati mabaya yanaanzia makwetu.
🥴 It can go beyond the spiritual world however
 
Back
Top Bottom