Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halooKabisa...angalau matumaini yapo...kuliko hao WASHIRIKINA
very sensitive hukoHivi IMMIGRATION nayo ni connection kumbe asee
(Kuna vibunda huko) [emoji55][emoji55][emoji456][emoji456]
Watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara.
Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.
Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini
1. TRA
2. BOT
3. DCEA
4. TISS
5. IMMIGRATION
6. NBS
7. TFRA
8. HAZINA
9. WORLD VISION
10. TCRA
11. DANISH REFUGEE COUNCIL
hii ni idara imeingia kama taasis hapoTiss sio shirika.😶
sahihi detectiveKama unawaza uganga kupata kazi kwenye hizi taasisi basi jifikirie upya
Unapotea
ukiingia nipe mbinuKuna siku nitakuwa huko
Hiyo imeisha mkuu we piga maombi niingie.ukiingia nipe mbinu
ndio mkuu, hata ucleaner sijapata hapoWorld vision? 🤔🤔Mkuu upo serious
Au upo kitengo cha mantainance( usafi na ulinzi) mkuuMbona tupo huko hakuna Cha mganga wala God father's
Yes hapa umenena mkuu asikate tamaa saa ingine vitu huja kama bahati unajikuta upo ndaniLakin usiache kuaply sehemu kisa huna connection
Yes hapa umenena mkuu asikate tamaa saa ingine vitu huja kama bahati unajikuta upo ndani
Labda kama hauna uwezo na kichwani ni tia maji tia maji, ila kama you are the best hapo labda Immigration, DCEA na Hazina sababu michakato yake kupenya mtihani kidogo pia masuala ya kiusalamaWatoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara.
Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.
Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini
1. TRA
2. BOT
3. DCEA
4. TISS
5. IMMIGRATION
6. NBS
7. TFRA
8. HAZINA
9. WORLD VISION
10. TCRA
11. DANISH REFUGEE COUNCIL