Hizi timu ni familia ya GSM na Yanga.

Hizi timu ni familia ya GSM na Yanga.

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
1. Dodoma Jiji (familia) ✅✅
2. Kagera Sugar (GSM) ✅✅
3. Pamba Jiji (GSM) ✅✅
4. KMC (Familia) ✅✅
5. Prisons (silent ocean) ✅✅
6. Coastal (GSM) ✅✅
7. Mashujaa (GSM) ✅✅
8. Singida (Familia) ✅✅
9. Namungo(GSM)✅✅

Timu ambazo Yanga wamepoteza points hazipo hapo,halafu tuache kusema GSM na Yanga hawapangi matokeo?
 
9. Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya ( familia).
 
1. Dodoma Jiji (familia) ✅✅
2. Kagera Sugar (GSM) ✅✅
3. Pamba Jiji (GSM) ✅✅
4. KMC (Familia) ✅✅
5. Prisons (silent ocean) ✅✅
6. Coastal (GSM) ✅✅
7. Mashujaa (GSM) ✅✅
8. Singida (Familia) ✅✅

Timu ambazo Yanga wamepoteza points hazipo hapo,halafu tuache kusema GSM na Yanga hawapangi matokeo?
9. Simba! Hii imefungwa mara 4 mfululizo na Yanga! Na yenyewe inastahili kabisa kuwekwa kwenye hiyo familia.
 
Wanao haribu mpira ni Simba, kila msimu anaichangia Yanga point sita ili atwae ubingwa ki ulaini.

Anaeharibu mpira ni Simba ambaye aligomea udhamini wa GSM kwa timu zote kwenye Ligi lakini kwasasa anaulalamikia udhamini uo uo wa GSM kwa baadhi ya timu.

Anaye haribu mpira ni Simba kwa kuwahonga waamuzi ili wapate matokeo kwa lazima ingawa timu haina uwezo, Matokeo yake marefa wanatoa maamuzi ya kujidharililisha na ku udhalilisha mpira.

Lita kua jambo la kushangaza kwa mpira wetu Bingwa iwe timu ambayo asilimia 70 ya mechi zake marefa wamelalamikiwa kwa maamuzi ya upendeleo.
Litakua jambo la kushangaza na aibu Kibu, Ateba , na Ahua wawe wachezaji walio ipa timu ubingwa kwa michezo ya penalty zisizo halali.
Tff na bodi ya lig wawe macho na marefa wote wanao chezesha mechi za Simba ni aibu kwa soka letu.
 
1. Dodoma Jiji (familia) ✅✅
2. Kagera Sugar (GSM) ✅✅
3. Pamba Jiji (GSM) ✅✅
4. KMC (Familia) ✅✅
5. Prisons (silent ocean) ✅✅
6. Coastal (GSM) ✅✅
7. Mashujaa (GSM) ✅✅
8. Singida (Familia) ✅✅

Timu ambazo Yanga wamepoteza points hazipo hapo,halafu tuache kusema GSM na Yanga hawapangi matokeo?
Mimi ni shabiki wa Simba ila hiki ni kichaka cha kutokea viongozi wetu endapo tutakosa ubingwa, Maswali ya kujiuliza 1.
kabla ya GSM Yanga iliwezaje kuchukua ubingwa?
2. Kwanini Yanga akipoteza mechi haya maneno hua yanapotea?
3 . Yanga imefika Fainali shirikisho na Robo CL huko nako GSM yupo?
4. Sisi ambao sio wana familia ya GSM mbona anatubonda kila siku?
 
Mbona Simba hujatuweka hapo kwenye list? Maana huwa tunatandikwa kama hatuna akili sawasawa
 
Mimi ni shabiki wa Simba ila hiki ni kichaka cha kutokea viongozi wetu endapo tutakosa ubingwa, Maswali ya kujiuliza 1.
kabla ya GSM Yanga iliwezaje kuchukua ubingwa?
2. Kwanini Yanga akipoteza mechi haya maneno hua yanapotea?
3 . Yanga imefika Fainali shirikisho na Robo CL huko nako GSM yupo?
4. Sisi ambao sio wana familia ya GSM mbona anatubonda kila siku?
Ulichokieleza hapa ni kama umenitangulia tu, nilitaka kuuliza haya pia. Endapo atatoa majibu ya kueleweka kwa kila ulichouliza basi hoja yake ni sahihi, ila akishindwa kuyajibu haya basi hakuna ukweli kwenye anachokisema
 
1. Dodoma Jiji (familia) ✅✅
2. Kagera Sugar (GSM) ✅✅
3. Pamba Jiji (GSM) ✅✅
4. KMC (Familia) ✅✅
5. Prisons (silent ocean) ✅✅
6. Coastal (GSM) ✅✅
7. Mashujaa (GSM) ✅✅
8. Singida (Familia) ✅✅

Timu ambazo Yanga wamepoteza points hazipo hapo,halafu tuache kusema GSM na Yanga hawapangi matokeo?
Singida si nayo pia ni GSM?
 
Hii list bila makolo ni batili 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom