Mbona Simba imepoteza dhidi ya Yanga na haujaiweka? Hauko siriasi.1. Dodoma Jiji (familia) ✅✅
2. Kagera Sugar (GSM) ✅✅
3. Pamba Jiji (GSM) ✅✅
4. KMC (Familia) ✅✅
5. Prisons (silent ocean) ✅✅
6. Coastal (GSM) ✅✅
7. Mashujaa (GSM) ✅✅
8. Singida (Familia) ✅✅
Timu ambazo Yanga wamepoteza points hazipo hapo,halafu tuache kusema GSM na Yanga hawapangi matokeo?