9. Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya ( familia).1. Dodoma Jiji (familia) ✅✅
2. Kagera Sugar (GSM) ✅✅
3. Pamba Jiji (GSM) ✅✅
4. KMC (Familia) ✅✅
5. Prisons (silent ocean) ✅✅
6. Coastal (GSM) ✅✅
7. Mashujaa (GSM) ✅✅
8. Singida (Familia) ✅✅
Timu ambazo Yanga wamepoteza points hazipo hapo,halafu tuache kusema GSM na Yanga hawapangi matokeo?
9. Simba! Hii imefungwa mara 4 mfululizo na Yanga! Na yenyewe inastahili kabisa kuwekwa kwenye hiyo familia.1. Dodoma Jiji (familia) ✅✅
2. Kagera Sugar (GSM) ✅✅
3. Pamba Jiji (GSM) ✅✅
4. KMC (Familia) ✅✅
5. Prisons (silent ocean) ✅✅
6. Coastal (GSM) ✅✅
7. Mashujaa (GSM) ✅✅
8. Singida (Familia) ✅✅
Timu ambazo Yanga wamepoteza points hazipo hapo,halafu tuache kusema GSM na Yanga hawapangi matokeo?
Mimi ni shabiki wa Simba ila hiki ni kichaka cha kutokea viongozi wetu endapo tutakosa ubingwa, Maswali ya kujiuliza 1.1. Dodoma Jiji (familia) ✅✅
2. Kagera Sugar (GSM) ✅✅
3. Pamba Jiji (GSM) ✅✅
4. KMC (Familia) ✅✅
5. Prisons (silent ocean) ✅✅
6. Coastal (GSM) ✅✅
7. Mashujaa (GSM) ✅✅
8. Singida (Familia) ✅✅
Timu ambazo Yanga wamepoteza points hazipo hapo,halafu tuache kusema GSM na Yanga hawapangi matokeo?
Hapo wanachofanya wanaifilisi SportPesa ambayo nayo wanaishikilia. Hakuna pesa ya jasho inayotumika hapo. Aiseee.....So Kodi zetu hizo
Mbona Simba hujatuweka hapo kwenye list? Maana huwa tunatandikwa kama hatuna akili sawasawa1. Dodoma Jiji (familia) ✅✅
2. Kagera Sugar (GSM) ✅✅
3. Pamba Jiji (GSM) ✅✅
4. KMC (Familia) ✅✅
5. Prisons (silent ocean) ✅✅
6. Coastal (GSM) ✅✅
7. Mashujaa (GSM) ✅✅
8. Singida (Familia) ✅✅
Timu ambazo Yanga wamepoteza points hazipo hapo,halafu tuache kusema GSM na Yanga hawapangi matokeo?
Ulichokieleza hapa ni kama umenitangulia tu, nilitaka kuuliza haya pia. Endapo atatoa majibu ya kueleweka kwa kila ulichouliza basi hoja yake ni sahihi, ila akishindwa kuyajibu haya basi hakuna ukweli kwenye anachokisemaMimi ni shabiki wa Simba ila hiki ni kichaka cha kutokea viongozi wetu endapo tutakosa ubingwa, Maswali ya kujiuliza 1.
kabla ya GSM Yanga iliwezaje kuchukua ubingwa?
2. Kwanini Yanga akipoteza mechi haya maneno hua yanapotea?
3 . Yanga imefika Fainali shirikisho na Robo CL huko nako GSM yupo?
4. Sisi ambao sio wana familia ya GSM mbona anatubonda kila siku?
Singida si nayo pia ni GSM?1. Dodoma Jiji (familia) ✅✅
2. Kagera Sugar (GSM) ✅✅
3. Pamba Jiji (GSM) ✅✅
4. KMC (Familia) ✅✅
5. Prisons (silent ocean) ✅✅
6. Coastal (GSM) ✅✅
7. Mashujaa (GSM) ✅✅
8. Singida (Familia) ✅✅
Timu ambazo Yanga wamepoteza points hazipo hapo,halafu tuache kusema GSM na Yanga hawapangi matokeo?
Katika mechi 10 zilizopita za Simba vs Yanga, ni kwamba Yanga imeshinda mechi 5 tu.Mbona Simba hujatuweka hapo kwenye list? Maana huwa tunatandikwa kama hatuna akili sawasawa
Kwanini ziwe kumi tu. Lete zoteKatika mechi 10 zilizopita za Simba vs Yanga, ni kwamba Yanga imeshinda mechi 5 tu.
Hii list bila makolo ni batili 🤣🤣🤣🤣1. Dodoma Jiji (familia) ✅✅