Hizi timu ni familia ya GSM na Yanga.

Mbona Simba imepoteza dhidi ya Yanga na haujaiweka? Hauko siriasi.
 
Weka na Simba ..... Wao ndio wametuchangia point nyingi na magoli mengi...
 
Hii ni derby. Huyu kumfunga huyu ni kawaida na hakuna derby duniani ambapo timu zimefungana kwa idadi sawa. Acheni ushamba....
Hujajibu nilichouliza zaidi ya kupaniki tu. Hata kama ni derby, lazima yupo aliyepelekewa moto kuliko. Kati yao hao wawili, nani katemewa kohozi mara kibao?
 
Hujajibu nilichouliza zaidi ya kupaniki tu. Hata kama ni derby, lazima yupo aliyepelekewa moto kuliko. Kati yao hao wawili, nani katemewa kohozi mara kibao?
Sina hizo takwimu ila mbona kawaida tu. Unakazia inshu ambayo wala haina mitkasi
 
Kuna familia nyingine naona umeiacha makusudi ila huwa Ina tubless sana
 
Mechi zote hapo kachukua point 😄😄😄😄
 
Umeisahau Simba Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…