Hizi timu ni familia ya GSM na Yanga.


Haya leta na timu familia na MBUMBUMBU SC.
 
Na simba nayo umesahau kuiweka kwenye orodha....rejea ushindi wa goli 5 zile
 
Namungo sijamuona hapo
 
Hujajibu nilichouliza zaidi ya kupaniki tu. Hata kama ni derby, lazima yupo aliyepelekewa moto kuliko. Kati yao hao wawili, nani katemewa kohozi mara kibao?
Mlihonga wachezaji wetu mkawasajili sasa hivi wapo benchi
 
Umeasahau na Namungo
 
Hakuna shabiki wa Simba mjinga kiasi hiki. Wewe ni chura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…