Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,655
Sababu ya kucheat ni kuwa 'huna morals za kuwa mwaminifu' sioni sababu nyingine zaidi ya hii.
Ndo maana wewe hukuweza chwat kipindi umechitiwa ukaamua ku-move on.
Mie huwa sioni justification kabisa, yaani acheat mwingine, afu mie nijipe adhabu ya kwenda kupakwa jasho na mtu mwingine?
Bora nimsababishie aliyenicheat abakwe na wanawake hata elfu lol
hivi is there any truth kwamba mwanaume kama haridhishwi na mkewe ndo anaenda nje ? ama na katabia kama mtu binafsi kwasababu mijianaume ya cku hizi khaa inapenda ku insert flash kwenye ports tofauti tu mwishowe folder litaliwa sasa zipu nje nje tu khaa ebboBabu, big respect to you, busara zako aisee!
Mie kuna ndugu yangu alimcheat mkewe muda mrefu tu tukanyamazia. Akaanza kuleta dharau kwa mkewe na ku-play hard to get. Hadi akastukiwa. Nikamuonya kesi ilipofika kwangu. Sasa hivi mkewe ana affair ya kufa mtu. Na mie formula yangu siingilii maisha ya mtu. Namngoja alete kesi nimuambie wewe ndo mwalimu wake, sahihisha daftari uwe mupolee!
Mwanaume akiwa cheated anatia huruma as if it is the end of the world! Sikilizia akikamatwa yeye anavyokuwa m'babe na kulazimishia asamehewe!
Ushawahi kumuuliza msichana ambaye labda umewahi kuwa na uhusiano naye kuhusu idadi ya wanaume aliyowahi kuwa nayo kabla yako wewe? Kama umewahi most likely uliambiwa idadi ndogo sana. Kama alikutajia idadi ndogo, uliamini?
Alafu ukimmega huyo shemeji yako ndo utapewa data kibao
Hiyo huwa mara nyingi ni kanyaboya....
Ni sawa na kuambiwa kwamba may be ujaribu au ujitahidi next time...anakuwa hataki tu kukuvunja vunja nguvu!!
Hawa watu achana nao bwana!!
Babu DC!!
D.A Naona umekuja na kasi zaidi...Habari ya kupotea dear?? Tulikumisije??
Back to the topic
Ni kweli kabisa pigia mstari....ukitoa K au M pembeni tu basi umecheat...
eheheee bora maana zingekuwa zinasoma nyingine zishablock no more penetration ohohoooo mi bikra jamani
I guess nimepitwa. But like i said i don't support cheating no matter how bad your relationship is. Going deep into this i see no ground ya kumtetea a woman cheater just like men, they try to justify kwa sababu tofauti
I was a victim of cheating once, the guy cheated in so many ways hadi basi nikajaribu kutafuta sababu lakini i found none so i decided to move on bila shari being a woman najaribu kuangalia ile situation ningepata kweli some comfort si ningeona sawa? Si sawa lakini haindoi sababu
Elizabeth bana haya sie wenzio tunacheat kwa kwenda mbele
babu usiwatishe wenzio, watakuwa wanahisi wanadanganywaaaa tuuuuuuuuuuuuuuu
Labda kwa new comers....ila kwetu sisi wastaafu, tunajua vyema kabisa kuwa kudanganywa na kupewa sifa zisizo zako (may be za mtangaulizi wako au dream man) ni sawa na kuvuta oxygen!!!
Babu DC!!
ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, best mimi ni mmoja tu. kweli tena!
kama mentality ni hii, sitakaa nisifie mtu asilani
haijalishi kama kapigia msumari wa mwisho au la!
Kumbe waonekana mwongo? Lol
mapenzi hayana wema aisee
ahahaaaaaaaaaaa icho kicheko tu kimenionyesha unaenda no kumi na kitu now ....ahahaaaaa
OMG! ubinadamu sasa umepotea kabisa. mume wa design hii ana tofauti gani na mawazo ya mnyama? yaani unacheat sababu mkeo anaumwa? hii sasa serious
Uko sahihi kabisa lakini ndio hivyo tena watu hawaoni wala kusikia cheating ni kwa kwenda mbele huku wakifunika kwa uongo,inawezekana vipi katika wasichana 20 niliotembea nao kila mmoja mimi ndio nakuwa mwanaume wa pili katika himaya yake..??What a coincidence............