Hofu inayotawala Mataifa ya Ulaya Dhidi ya Waafrika na Bara lao

Hofu inayotawala Mataifa ya Ulaya Dhidi ya Waafrika na Bara lao

Habari za muda huu wadau wote wa Jf!

Naomba niandike nakala fupi tu kwa leo ambayo kama kichwa cha habari kinavyosema.

Ukweli ni kwamba Mataifa ya ulaya hata magharibi yamekuwa na hofu kubwa sana juu ya waafrika pamoja na bara lao. Hofu hii inakuja baada ya mipango yao kufeli kwa kiasi kikubwa katika bara hili.

Nitazungumzia mipango miwili mikubwa ambayo imefeli wa kwanza ni uzazi wa mpango.

Uzazi wa mpango kwa Afrika umefeli kiasi kikubwa sana, Wazungu walidhani wangeweza kucontrol African population kwa kutumia uzazi wa mpango na kuwaminya viongozi wetu kuhakikisha uzazi wa mpango unafanya kazi pia kuwapa conditions kali za kuwafanya watu wasizaane hasa mimba za mapema. Pia walileta organizations mbali mbali kuhakikisha wanafuatilia population ya Africa kwa umakini, Organizations ambazo hata sasa baadhi bado zipo hata Tanzania. Pamoja na hilo walihakikisha uzazi wa mpango unawafikia wa Africa upesi sana na bure au kwa gharama nafuu hii yote ni kucontrol population ya waafrica.

Njia ya pili ilikuwa ni kuwagombanisha Waafrica. Yaani kuwapa support waasi na kuanzisha mapigano dhidi ga serikali kuu. Waliiamini Taifa lenye mali kama mafuta, dhahabu na almasi yatakuwa ni mataifa imara siku moja na yenye watu wengi. Hivyo walitumia njia hizi ambazo kwa sasa zinaenda zikiisha nguvu kwa kasi kubwa sana.

Mfano Congo ambao wamepigana mda mrefu na sasa mapigano yakienda kutulia baadhi ya sehemu. Na pia Congo kukataa uzazi wa mpango nchini kwao nakusema watu wazaane nchi bado ni kubwa mapori ni mengi.

Wazungu waliona jambo hili mapema sana kwao wakadhani watamwadaa mwafrika katika maisha yao yote sababu hana uwezo wa kufikiri.

Kwanini Population ya waafrika ni tishio ulaya?

Population ya waafrika ni tishio kubwa sana Katika nchi za ulaya. Hii kwamba wanaamini ndani ya miaka hamsini ijayo hadi mia basi sehemu kubwa ya dunia itakuwa inatawalia na waafrika.

Pia wamekuwa na hofu kubwa sana juu Race yao na kupotea kwa origin yao. Hii ni kutokana na dhana yao ya "Civilisation" kwamba mtu aliye elimika basi kuwa na mtoto mmoja au wawili.

Sera hii ambayo kwa sasa imewafanya nchi zao kuwa na wazee wengi na vijana wachache ambao wanazaa watoto wachache tena uzeeni au mwanzo wa uzee.

Wakati Afrika ni ngumu sana kumkuta mwanamke wa miaka 28 hana mtoto. Tafiti zilizofanyika na shirika la watoto duniani. Mwaka 2019 zilisema katika nyumba kumi za waafrika, kuna watoto kumi hadi kumi na tano wenye umri chini ya miaka nane, pia katika nyumba hizi kumi ni nyumba mbili ambazo unaweza kuta hamna watoto maani ni asilimia 20 tu. Wewe pia unaweza fanya tafiti hii ndogo hapo mtaani kwako.

Ongezeko la waafrika limekuwa ni hofu kubwa sana kwa mataifa ya Ulaya kama nilivyosema hapo awali. Hii ni kutokana na waafrika wengi kuondoka nchini mwao au barani mwao kwenda kutafuta maisha Ulaya na nchi za magharibi. Wakifika huko waafrika wamekuwa na utamaduni ule ule wa kuzaa na kuendelea kuongezeka hata huko walipo na kufanya wazidi kuendelea kuongezeka kwa kasi.

Wikipedia inasema hivi,

Since the 1960s, the main source countries of migration from Africa to Europe have been Morocco, Algeria and Tunisia, resulting in large diasporas with origins in these countries by the end of the 20th century. In the period following the 1973 oil crisis, immigration controls in European states were tightened. The effect of this was not to reduce migration from North Africa but rather to encourage permanent settlement of previously temporary migrants and associated family migration. Much of this migration was from the Maghreb to France, The Netherlands, Belgium and Germany. From the second half of the 1980s, the destination countries for migrants from the Maghreb broadened to include Spain and Italy, as a result of increased demand for low-skilled labour in those countries.[8]

Spain and Italy imposed visa requirements on migrants from the Maghreb in the early 1990s, and the result was an increase in illegal migration across the Mediterranean. Since 2000, the source countries of this illegal migration have grown to include sub-Saharan African states.[8]

During 2000–2005, an estimated 440,000 people per year emigrated from Africa, most of them to Europe.[9] According to Hein de Haas, the director of the International Migration Institute at the University of Oxford, public discourse on African migration to Europe portrays the phenomenon as an "exodus", largely composed of illegal migrants, driven by conflict and poverty. He criticises this portrayal, arguing that the illegal migrants are often well educated and able to afford the considerable cost of the journey to Europe.

Migration from Africa to Europe, he argues, "is fuelled by a structural demand for cheap migrant labour in informal sectors". Most migrate on their own initiative, rather than being the victims of traffickers. Furthermore, he argues that whereas the media and popular perceptions see irregular migrants as mostly arriving by sea, most actually arrive on tourist visas or with false documentation, or enter via the Spanish enclaves, Ceuta and Melilla. He states that "the majority of irregular African migrants enter Europe legally and subsequently overstay their visas".[8] Similarly, migration expert Stephen Castles argues that "Despite the media hysteria on the growth of African migration to Europe, actual numbers seem quite small – although there is a surprising lack of precision in the data".[10]

According to the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD), migration from African countries to more developed states is small in comparison to overall migration worldwide. The BBC reported in 2007 that the International Organization for Migration estimates that around 4.6 million African migrants live in Europe, but that the Migration Policy Institute estimates that between 7 and 8 million illegal migrants from Africa live in the EU.[11]

Kwa sasa Tafiti zinasema kwamba kwa siku waafrika zaidi ya elfu kumi wanahamia Ulaya kwa njia ambazo sio halali. Hii ni kila siku unayoiona wewe waafrika elfu kumi wanavuka Mediteranian sea kwenda ulaya.
Kumekuwa na njama nyingi za kuwaua waafrika hawa na kusema boat zao zimezama watu kadhaa wamefariki ila ukweli kuna jambo nyuma ya pazia. Nadhani wachangia hoja wataweka baadhi.

Ukweli ukitafakali sana mwendo anaoenda nao mwafrika ni kweli ipo siku hii Race itakuwa ni race yenye nguvu duniani sio kwa Teknolojia au Elimu bali kwa wingi wao. Miaka inayokuja viongozi wa mataifa ya ulaya tusishangae kuona ni wamatumbi. Kama Tulivyoanza na USA na amini ipo siku itakuwa duniani kote.

Na waasa sana Waafrika tujichunge sana maana Ongezeko letu sio pendezo kwa mataifa mengine. Chunga uhai wako tuwe wadadisi kwa vitu tunavyoletewa. Pia waafrika wenzangu tuwatunze watoto tunaowazaa kwa kuwalea vyema kwa kufanya kazi kuwalisha ili waweze kuwa imara wenye afya.
Na leo hii mchina anaunganisha barabara mikoa yote ya kongo ili iweze kufikika kwa uzuri zaidi.......
 
Uchawi una faida gani kwa mchawi au mwafrika.
Sayansi ya Waafrica siyo uchawi, mbona naimba wimbo usiokuwa na chorus? au umelewa?
ukoloni mamboleo imf,wb zipo afrika pekee yake? Huko vietnamese, indonesia, Dubai, china, india malaysia je wao Wana ukoloni mambosasa,
Uko africa pekee ndo penye Mali nyingi!! na waliko pelekwa watumwa weusi kote Duniani ndo pameendelea yaani wao ni super power!
Liberia na Ethiopia hazikuwahi tawaliwa mbona nazo ni masikini?
zinahujumiwa maksudi na mataifa ya magharibi!! waasi wa ethiopia ya leo wanatoa wapi nguvu hizo za kuipinga nchi ngumu africa wkt hawazalishi chochote!...xhanzo ni bwawa la umeme!! lile lenye uwezo wa kuzalisha umeme africa nzima!
China ilitawaliwa na japani,
Naona huelewi china na japani ni sawa tanganyika na zanzibar!
wameshindwa wenyewe kuwaletea waafrika maendeleo huku Wana KILA kitu ardhi, madini,maji,masoko,pesa, Nguvu kazi,mitaji,nk kwann tatizo watupie wengine.
Uongo huelewi sisi tuna maendeleo makubwa sana tanzania ya leo iko juu sana sema wewe Mungu amekupiga kofi!! Mijighorofa yooote hiyo unataka nini?
Ishu sio walimu wa upe.
UPE Ni matokeo ya elimu duni ndo isgu yenyewe sasa km tumeendelea na hujui kuwa tumepiga hatua tukusemeje sasa tunajitegemea na tunaenda vizuri
Kwann watuuzie silaha kwann wasitupe bure Ili tuuane.
wana akili wale wakanyonye wapi mkifa wote na sisi ndo tunawaweka kwenye ramani ya Dunia?
Kwann hatuendelei hali tuna kila kitu.
wewe ndo hauja endelea hutaki kufanya kazi km sisi lkn sisi wengine tuna maendeleo!!!......... tubu kwa Mungu wako bila aibu uone matokeo!! tuna magari ya kutosha tuna viwanda vidogo vidogo vya kuchakata nyasi zinakuwa carpet, malisho, umeme nk
 
Sayansi ya Waafrica siyo uchawi, mbona naimba wimbo usiokuwa na chorus? au umelewa?

Uko africa pekee ndo penye Mali nyingi!! na waliko pelekwa watumwa weusi kote Duniani ndo pameendelea yaani wao ni super power!

zinahujumiwa maksudi na mataifa ya magharibi!! waasi wa ethiopia ya leo wanatoa wapi nguvu hizo za kuipinga nchi ngumu africa wkt hawazalishi chochote!...xhanzo ni bwawa la umeme!! lile lenye uwezo wa kuzalisha umeme africa nzima!

Naona huelewi china na japani ni sawa tanganyika na zanzibar!

Uongo huelewi sisi tuna maendeleo makubwa sana tanzania ya leo iko juu sana sema wewe Mungu amekupiga kofi!! Mijighorofa yooote hiyo unataka nini?

UPE Ni matokeo ya elimu duni ndo isgu yenyewe sasa km tumeendelea na hujui kuwa tumepiga hatua tukusemeje sasa tunajitegemea na tunaenda vizuri

wana akili wale wakanyonye wapi mkifa wote na sisi ndo tunawaweka kwenye ramani ya Dunia?

wewe ndo hauja endelea hutaki kufanya kazi km sisi lkn sisi wengine tuna maendeleo!!!......... tubu kwa Mungu wako bila aibu uone matokeo!! tuna magari ya kutosha tuna viwanda vidogo vidogo vya kuchakata nyasi zinakuwa carpet, malisho, umeme nk
Mimi nachimba madini si haba nina maendeleo,je majority ya watz wana maendeleo? Maendeleo sio maghorofa machache haya ya Dar.Kama hadi sasa tangu UHURU still watz wanaishi kwenye nyumba za nyasi kama panya utasema vipi umeendeleea hali watu wako 90% awapati basic needs.
Ipi faida ya uchawi,na kama ni sayansi basi ni duni Sana, katika kiumbe chenye uwezo Mdogo Sana wa kufikiri ni mchawi ndio maana ufanya mambo ya kipumbavu.
Uchawi ndio umewafukarisha waafrika wengi kwa kuwaamisha uwongo mkubwa kabisa eti huwezi fanikiwa bila ushirikina kutwa watz wanakesha kwa waganga still matatizo kibao.
Mzungu haitaji kusapoti vita Afrika Ili apate raslimali wakati bila wao sisi tunachezea bao.Sisi ndio tunawategemea kupata soko la kuuza raslimali zetu kwao ikiwemo mikopo na misaada ambayo kwa fikra tegemezi tumeshindwa kuzitumia kuendelea sababu ya ubinafsi, ukosefu wa Utawala bora,nk.
Dubai,China,India, Vietnam, scandinavian, Ujerumani,japan wameendelea je kuna waafrika huko?
Ishu ya Ethiopian ni upumbavu wa ukabila ugonjwa wa mwafrika je Mzungu ndie kaleta huo ukabila wa kubaguana kwenye madarakani.Nadharia sijui za kuzalisha Umeme mwingi ndio maana wanapigwa vita ni propaganda za kijamaa hizi ambazo sio sahihi kwa ulimwengu wa Sasa.
Hakuna mwafrika anaeweza mletea maendeleo mwafrika mwenzake hii ni nature.
Watawala urogana kugombea nafasi kwa ajili ya tumbo na sio kuguswa na matatizo ya walipa kodi.
 
Na leo hii mchina anaunganisha barabara mikoa yote ya kongo ili iweze kufikika kwa uzuri zaidi.......
Anaunganisha au anakula madini kupitia kuunganisha nchi kama alivyokula madini na malikale hazina ya Mjerumani aliyoficha vita vya pili vya duniani kwa kuzuga anajenga Tazara bure kule anatembea na mikanda ya mali.
USA kustukia ishu ya Mchina nae akala mali kwa kuzugia kujenga bomba la mafuta TAZAMA mwambao Mwa reli ya Mchina.
 
Mimi nachimba madini si haba nina maendeleo,je majority ya watz wana maendeleo? Maendeleo sio maghorofa machache haya ya Dar.Kama hadi sasa tangu UHURU still watz wanaishi kwenye nyumba za nyasi kama panya utasema vipi umeendeleea hali watu wako 90% awapati basic needs.
Ipi faida ya uchawi,na kama ni sayansi basi ni duni Sana, katika kiumbe chenye uwezo Mdogo Sana wa kufikiri ni mchawi ndio maana ufanya mambo ya kipumbavu.
Uchawi ndio umewafukarisha waafrika wengi kwa kuwaamisha uwongo mkubwa kabisa eti huwezi fanikiwa bila ushirikina kutwa watz wanakesha kwa waganga still matatizo kibao.
Mzungu haitaji kusapoti vita Afrika Ili apate raslimali wakati bila wao sisi tunachezea bao.Sisi ndio tunawategemea kupata soko la kuuza raslimali zetu kwao ikiwemo mikopo na misaada ambayo kwa fikra tegemezi tumeshindwa kuzitumia kuendelea sababu ya ubinafsi, ukosefu wa Utawala bora,nk.
Dubai,China,India, Vietnam, scandinavian, Ujerumani,japan wameendelea je kuna waafrika huko?
Ishu ya Ethiopian ni upumbavu wa ukabila ugonjwa wa mwafrika je Mzungu ndie kaleta huo ukabila wa kubaguana kwenye madarakani.Nadharia sijui za kuzalisha Umeme mwingi ndio maana wanapigwa vita ni propaganda za kijamaa hizi ambazo sio sahihi kwa ulimwengu wa Sasa.
Hakuna mwafrika anaeweza mletea maendeleo mwafrika mwenzake hii ni nature.
Watawala urogana kugombea nafasi kwa ajili ya tumbo na sio kuguswa na matatizo ya walipa kodi.
Una chimba madini yetu? wewe bado ni maskini wa fikra! hukwepi unayapeleka kwa adui yetu?? hata hayo madini hujui wanafanyia nini? wewe una mchango mkubwa wa kulidhoofisha Bara la africa acha !

Muongo! maghorofa ni sehemu ya infarastructures so ni sehemu ya maendeleo yetu!! nyumba za Nyasi, Makuti ni tamaduni zetu zipo mpaka City centre! mfano Makuti Bar, usidhani mmiliki ni maskini, la hasha!

km Nyumba yako ya nyasi unaishi na panya huo ni uchafu wako binafsi! pia Nyumba ya bati haifukuzi panya! mwalimu wako muongo!! na siyo kwamba ukienda kwa mganga ni lazima ufanikiwe la hasha.

Hata Hosp. wengine hawaponi na si wanakufa mkuu au!!

Nachelea kusema labda nabishana na mtu ambae ni mtoto!! ...... umesoma na hujui anae sapoti vita africa?? nakupa pole Mkuu kazana!

well kienyeji dawa zimekukataa tumia akili mbadala!! waganga hoyeee!..... Waafrica wanaweza kuwaletea waafrica wenzao maendeleo ukisema hawawezi hayo ni matokeo ya Elimu ya walimu wa UPE!!nimekupa mifano hapo juu!

Frontline state ilikuwa ajili ya kumkomboa nani?? ....... Mtawala aliroga? kuumbe wakiroga wanashinda sasa nani ana sayansi hiyo adimu ya ushindi duniani??? tunaenda sasa kuroga NASA Tushinde sisi!

bila shaka aliona unaamini uchawi sana akaruka sarakasi za vitisho ukakimbia maweee nimerogwa! huoni kuwa huyo ana akili sana! hata hayo madini unayochimba nikija na fisi hapo utakimbia na kuniachia sababu weye ni mshirikina!

Na wewe hujijui tu km uko mshirikina hivi utakoma siku ya siku watakuja watu wanakwambia kabisa leta hayo madini tukayaroge yaongezeke!! ...utatoa tu sababu unaamini kuna uchawi!!
 
Makala yako ni parochial , narrow minded.
Africa population 1.34 bil
China peke yske1.43 bil
India 1.38 bil
Kwanini threat iwe Africa tu wakati Asia peke yake ina 4.6 bil.
Rate ya kuzaliana kati ya hizo race, ikoje? Nahis hujamwelewa mleta mada.
 
Una chimba madini yetu? wewe bado ni maskini wa fikra! hukwepi unayapeleka kwa adui yetu?? hata hayo madini hujui wanafanyia nini? wewe una mchango mkubwa wa kulidhoofisha Bara la africa acha !

Muongo! maghorofa ni sehemu ya infarastructures so ni sehemu ya maendeleo yetu!! nyumba za Nyasi, Makuti ni tamaduni zetu zipo mpaka City centre! mfano Makuti Bar, usidhani mmiliki ni maskini, la hasha!

km Nyumba yako ya nyasi unaishi na panya huo ni uchafu wako binafsi! pia Nyumba ya bati haifukuzi panya! mwalimu wako muongo!! na siyo kwamba ukienda kwa mganga ni lazima ufanikiwe la hasha.

Hata Hosp. wengine hawaponi na si wanakufa mkuu au!!

Nachelea kusema labda nabishana na mtu ambae ni mtoto!! ...... umesoma na hujui anae sapoti vita africa?? nakupa pole Mkuu kazana!

well kienyeji dawa zimekukataa tumia akili mbadala!! waganga hoyeee!..... Waafrica wanaweza kuwaletea waafrica wenzao maendeleo ukisema hawawezi hayo ni matokeo ya Elimu ya walimu wa UPE!!nimekupa mifano hapo juu!

Frontline state ilikuwa ajili ya kumkomboa nani?? ....... Mtawala aliroga? kuumbe wakiroga wanashinda sasa nani ana sayansi hiyo adimu ya ushindi duniani??? tunaenda sasa kuroga NASA Tushinde sisi!

bila shaka aliona unaamini uchawi sana akaruka sarakasi za vitisho ukakimbia maweee nimerogwa! huoni kuwa huyo ana akili sana! hata hayo madini unayochimba nikija na fisi hapo utakimbia na kuniachia sababu weye ni mshirikina!

Na wewe hujijui tu km uko mshirikina hivi utakoma siku ya siku watakuja watu wanakwambia kabisa leta hayo madini tukayaroge yaongezeke!! ...utatoa tu sababu unaamini kuna uchawi!!
Mimi si mshirikina nitake radhi Mimi natumia akili yangu kamili niliyopewa na Mwenyezi Mungu.mshirikina ni mtu mwenye kiwango cha chini sana cha kufikiri thus utegemea ndumba kuboost akili yake.
Nachimba madini yetu sababu yapo tele ni hazina alizotupatia Mwenyezi Mungu tuyatumie kupata maendeleo sema tu waganga na wachawi ndio wamewafilisisha waafrika kufikiri vizuri wasione fursa.
Bila kuwauzia wao kwetu hayana thamani.
Hata smart phone uitumiayo imetoka kwao utawakwepea wapi hali wao waanzilishi wa mifumo yote ya maendeleo.
Hizo ni propaganda za miaka ya 70 eti wao ndo wanaanzisha vita Ina maana sisi ni majua hadi tupiganishwe?
Chanzo cha vita ni ubinafsi na ujinga wa watawala mwanzilishi wa vita vya congo ni mobutu na uroho wake.
Sudan kusini ni Riek Masheir na Salva Kier wanao thirika ni wasio na hatia kwa tamaa za wapumbavu hao wawili, solution ya machafuko ya sudan kusini inatakiwa wapewe mwezi mmoja wapatane au wapigwe risasi wote kama awataki kupatana ni upumbavu Dunia kupoteza pesa kugharamia wakimbizi sababu ya upumbavu wa watu wawili dawa ni kuwapiga shaba hao miamba wawili na watakaoleta tena machafuko shaba ukifanya hivi amani itapatikana.
Narudia panapo haki Hakuna vita mbona Ulaya latin america wao hakuna vita?
Wasapoti vita Ili iweje sasa kwani ni kipi wamekikosa watakacho hadi wasababishe vita kukipata? Masoko yote ya raslimali zetu ni kwao na sisi ndo tunawapelekea wao kwa bei nzuri hata Mimi nampango wa kufungua duka la kuuza madini kwao.
Nchi tajiri nakuaje masikini sasa.
Nyie mnaotegemea akili ya waganga au kuombewa na manabii labda,sisi tunatumia akili zetu wenyewe.
We hata uje ukoo wa fisi wote huwezi kitu ukizijua codes za wachawi awakusumbui.
 
Rate ya kuzaliana kati ya hizo race, ikoje? Nahis hujamwelewa mleta mada.
Waafrika tunazaliana Sana na tunakufa haraka mapema kwa magonjwa, umasikini,njaa wao awazliani Sana laki uchelewa kufa.
 
Yote hizi ni propaganda mfu za miaka ya 70 enzi za vita baridi ziliasisiwa Urusi kwenye chuo cha patrick lumumba. Mrusi na Mchina ndio walitengeza kirusi hiki cha fikra za kijamaa ili kumuwini mwafrika awe upande wake kumpandikizia chuki ya kuwachukia wazungu kambi ya Magharibi.
Hizi idealogy not applicable kwa kizazi cha sasa chenye fikra huru zilikuwa na nguvu miaka ya 70
 
Narudia panapo haki Hakuna vita mbona Ulaya latin america wao hakuna vita?
umejijibu vizuri sana ulaya na america Kutakuwaje na vita huko wkt wao ndo waanzilishi huku il wavune??.....pia hakuna vita kwa sababu hawana kitu km sisi Africa.....unazunguka muremure naimba wimbo usiokuwa na chorus!! funguka wewe!!

Hakuna tajiri anaeweza gharamia vita Afrca!! zaidi ni hao WEUPE!! una wauzia dhahabu!! wewe una mchango kudhoofisha ndg zako... hao kina Riack machial, na wengineo ndo matokeo ya Elimu ya UPE!

wanatumiwa tu km paed ! badae wanauawa km mbuzi tu mfano Savimbi!!Alfonso dhlakama! joseph konyi nk, misimamo ya watu km hawa ndiyo ilisababisha tuitwe nyani mpaka kesho! wao hawakuamini kuwa weusi tunawapenda.

Elimu ya UPE ilitugharimu pakubwa na wengi mlioipata hamuelewi ktk mafanikio yenu! sababu ya Poor Education limitation, Angalia viongozi waliosomea mkono wa mkoloni mfano..

Nyerer,Nkwame, Jomo, Lumumba.Tafawa Balewank. hawa walikuwa na uafrica kindakindaki hasa! kuliko wale waliofundishwa na Muafrica aliyepata elimu ya UPE!

Fkiria tu unauza madini hata hufikirii hao wanayatumia kufanyia nini!!......tena wanakupangia bei then unaishi hand to mouth, unaoa,unakula mbususu gari la mtumba kwishne! hujui mwanao kesho itakuwaje.......

kwa dhahabu yako hiyo wao wanajua virembwe wa virembwe vitaishi salama usalimini mpaka vinakufa vinawatawala! wkt mnazalauriana wao huku wanachimba!!

wewe unachimba na jembe/sururu!! usiku unalala!! ....yeye ana chimba kwako usiku na mchana tena matani kwa matani halali anakutumia wewe au nduguyo halafu unafurahiiiii!!....hujiulizi??? tukuiteje sasa...........jipe jina mwenyewe!

sisi siyo mpaka tutumie smart phone eti ndo maendeleo huo ni uvivu wa kufikiri, tuna weza zaidi ya smart phone!! na hayayoote wame copy na ku paste kutoka Misri ya kale, Mayan, Antlantidasnk, Kifupi tulikuwa vizuri!!

Hakuna jipya chini ya jua funguka hawajatuletea chochote! waliiba na sasa wanapaste ......waalimu wako hawajakufundisha vizuri! ...wazungu watuache miaka 25 kavu bila kutugusa wala misaada uone!

hata uwapende vipi wale! walambe uwalambavyo! wasidie km ivi ! lkn kamwe hawatakupenda ng'ooo!! saaana watakufanya km savimbi tu.... si unaona Walivo mfanya iddi Amin? hayaa weee kazana tu!

tena mtu km wewe watakupenda mnoooo! Lkn mwisho wako hautakuwa mzuri mifano ni Mingi........Nyerere alikuwa nakataa maksudi hata hela yao ya misaada alikuwa anawarudishia tu maksudi wakipishana kidogo....
 
Nyerere aling'ata na kupuliza kama magufuli mchana waliwananga mabeberu usiku walipokea misaada gizani,wakazuia mabaya yao yasitoke.
Alipotaka kupinduliwa aliowananga ndio walimsaidia na kumrudisha ikulu.
Njaa ilipoingia aliomba mahindi ya njano toka kwao.
Hayo maendeleo ya kale ya Afrika huko Misri na kwingine yalishindikana vipi kuendelea au kuendelezwa hata sasa.
Zamani tulichukuliwa utumwa kwa lazima leo tunagombea viza kwa lazima kwenye balozi zao ikiwemo wengine kufia mediterranean sea baada ya watawala wa kiafrica kuziharibu nchi zao.
Maisha ya mwafrika ni zaidi ya jehanamu baada ya UHURU kabla ya UHURU uliza wazee ajira zilikuwa tele mashambani, viwandani,au kwenye biashara unachagua tu uajiriwe au ufanye biashara.
Leo hii hata tukibadilishana wao waje huku sisi twende kule haipiti miaka 10 tutakuwa masikini tena na kuanza kuzamia kuja Afrika.Maisha ya mwafrika yamekuwa duni Sana baada ya UHURU ambao wanaufaika ni uzao wa wapigania UHURU pekee wakiishi kifalme.
 
waliwananga mabeberu usiku walipokea misaada gizani,wakazuia mabaya yao yasitoke.
Hawo hao
kabla ya UHURU uliza wazee ajira zilikuwa tele mashambani, viwandani,au kwenye biashara unachagua tu uajiriwe au ufanye biashara.
Epuka contradictions! sasa km amaekupa ajira na wkt huo huo kumbe ana mabaya mchonga anazuia yasitoke !! ndo umesema nini sasa?

funguka hwakumrudisha kwa sababu wanampenda sana, wale ila walitaka kumtumia kwa faida yao lkn bado aliwatoa baru!!
Waalimu wako ni waongo hakuna Misaada inayotolewa usiku km uchawi, hakuna Dunia nzima huo ni uongo!......hata hiyo misaada wanatupatia sababu wanajua thamani yetu huwezi saidia pasipo na faida na wala hatuitaji kiviile!!......

Maendeleo kufa kabisa Misri na yasionekane ni sheria ya Historia Mkuu, Pyramids, sphynx, Perplas nk ni dalili kuwa tulikuwa matajiri !! kasome tena.....ukigombea viza si kila mtu!!..

hiyo kukimbilia huko na wengine kufia Mediterannea ni matokeo ya kuharibu huku africa kwa vita, mfano Boko haram, al shaabab,nk ili twende na km hujui wanatuhitaji mnooo!! sisi ni Lulu!

Thamani yetu kwao ni zaidi ya dhahabu na wanajua ..... kwa nini wasiwarudishe makwao?? au waweke fancy ya umeme si wana hela? jiulize tu swali dogo......

COVID imewamaliza wote sasa nani ata watibu/fanya kazi huko??? jibu ni sisi tu!,,,weusi hatuna maisha ya jehanamu wewe sema tu Mungu amekupiga kofi, Ardhi yooote hii!.....ngombe, mbuzi kondoo!, nenda kariakoo vyakula vipo tele!!

Mwanza , Mbeya, the big four Mama weee niseme nini Mie!!....Mama tanzania anavo nilea hkn mwingine km wewe! weye sema mvivu tu unatamani vya wengine !! tena Mungu amatupenda mnoo maji tumezungukwa! tumshukuru!

Maisha baada ya uhuru ni mazuri mnoo!! kwanza tumezaana sana kwa afya bora...tunaHospital , shule, ma idara za kutosha kabisa wasomi, watu safi siasa safi, uongozi bora wee usituchezee kabisa!

waafrica tunaishi kifalme richa ya maatizo!! wakituacha tu kutufuatafuata ni zaidi ya ulaya hkn ataye kwenda huko!
 
liowananga ndio walimsaidia na kumrudisha ikulu.
Mkuu! kumbuka ukimsifia Demu!! ukampa hela!! ukamjengea nyumba, ukasaidia familia yake ni kwa sababu unamtaka/penda ajili ya sura tu pia bin kismati huyo demu!!...pia ana kismati na wewe!!! kifupi kwa urembo wake umemu honga!!

huwezi honga demu wa hovyo hovyo tu!...mwenye mikosi kibao kwanza utamkimbia!! au kumkwepa!! hao unawasema hao wanatamani africa mpaka kesho!..angalia kismart cha weusi ulaya yote leo ni matajiri, na

Mataifa waliopenda watumwa na kuwaheshimu ndo wametawala Dunia kwa mda mrefu! mfano UK, USA France, kwa vipindi tofauti, aliye ua waafrica alipoteza nafasi ya u super power! km waarabu

ivoivo ukitaka kuendelea kuwa super power Duniani toa misaada africa!! uone! hii ni siri yao hawatki muijue mana mtaringa!!!! Africa bana ni km demu mwenye kismart! chunguza si umesomaaaa

Africa Bara ni kama Demu mremboooo!! mwenye kismati!! yaani ukimuhonga hukosi kurudisha hela yako mara dufu!! na kila mtu Ulaya anatutamani sisi tena sijakosea wanatutaka sana!!

siyo ardhi tu hata jinsi tulivyo tu, sasa ivi kipindi cha covid ndo thamani imeongezeka mara dufu! hivi vita unavyooona ni mabwana awili wanatupigania kupitia sisi wenyewe mfano SUDAN imegawanywa makundi mawili sababu ya urembo wa mama africa!

sasa inakuja msumbiji nayo itakuwa ivo!
 
Zamani tulichukuliwa utumwa kwa lazima leo tunagombea viza kwa lazima kwenye balozi zao ikiwemo wengine kufia mediterranean sea baada ya watawala wa kiafrica kuziharibu nchi zao.
Jambo dooogo hili linakushinda ku analyse ndugu??? wanao fia meditrania ni waafrica Magharibi includingi wa nigeria wengi, ZAIRE, ethiopia hakuna mbongo, au nchi yeyote ya EAC sasa jiulize kwa nini nchi tajiri africa wakimbilie huko?? jibu ni BOKO haramu /UPE wanapewa siraha na hao weupe! mtwangane!! hasa hwa wa UPE ni rahisi sana kushawishika
 
Watangwane Ili iweje sasa kwa faida ipi.
Kwann wasikimbilie kusini Mwa afrika mfano east africa.Haya makundi ya kigaidi upata pesa kwa kuuza madawa ya kulevya,uharamia,viungo vya binadamu,na biashara haramu.
Kama wanafadhiliwa Ili mfadhili anufaike nini sasa pili silaha zinawafikiaje hali pote pamezungukwa na nchi za kiafrica
 
Mkuu! kumbuka ukimsifia Demu!! ukampa hela!! ukamjengea nyumba, ukasaidia familia yake ni kwa sababu unamtaka/penda ajili ya sura tu pia bin kismati huyo demu!!...pia ana kismati na wewe!!! kifupi kwa urembo wake umemu honga!!

huwezi honga demu wa hovyo hovyo tu!...mwenye mikosi kibao kwanza utamkimbia!! au kumkwepa!! hao unawasema hao wanatamani africa mpaka kesho!..angalia kismart cha weusi ulaya yote leo ni matajiri, na

Mataifa waliopenda watumwa na kuwaheshimu ndo wametawala Dunia kwa mda mrefu! mfano UK, USA France, kwa vipindi tofauti, aliye ua waafrica alipoteza nafasi ya u super power! km waarabu

ivoivo ukitaka kuendelea kuwa super power Duniani toa misaada africa!! uone! hii ni siri yao hawatki muijue mana mtaringa!!!! Africa bana ni km demu mwenye kismart! chunguza si umesomaaaa

Africa Bara ni kama Demu mremboooo!! mwenye kismati!! yaani ukimuhonga hukosi kurudisha hela yako mara dufu!! na kila mtu Ulaya anatutamani sisi tena sijakosea wanatutaka sana!!

siyo ardhi tu hata jinsi tulivyo tu, sasa ivi kipindi cha covid ndo thamani imeongezeka mara dufu! hivi vita unavyooona ni mabwana awili wanatupigania kupitia sisi wenyewe mfano SUDAN imegawanywa makundi mawili sababu ya urembo wa mama africa!

sasa inakuja msumbiji nayo itakuwa ivo!
Kwann sisi waafrika tumeshindwa vipi kuwagombanisha wazungu wauane kama sisi waafrika.
Dikteta bashiru ndie chanzo sudani kwa kuwalazimisha kusini wawe waislamu pili kuwabagua hivyo wakaamua kujitenga.Baada ya kujitenga tamaa ya utajiri uroho wa madaraka, ubinafsi, ujinga ndo chanzo cha vita sudani solution Ili vita iishe ni lzm wale wababe wawili wasiotaka kupata wauliwe Ili wengine wapatane.
Ni uongo mtupu kusema mtu mzima unachonganishwa mpigane
 
Watangwane Ili iweje sasa kwa faida ipi.
Hii Syrabus ya drs la tano huko! Mkuu! Nilikuwa nadhani unaelewa!! Loool! kuuumbe hata hukufundishwa maadui waafrica weye??? ....
Kwann wasikimbilie kusini Mwa afrika mfano east africa.
Kambi ya Kakuma refugee camp! huijui?
Ngara, Kibondo, Tabora, zamani Mazimbu je umewahi kuzisikia hizo
Haya makundi ya kigaidi upata pesa kwa kuuza madawa ya kulevya,uharamia,viungo vya binadamu,na biashara haramu.
Hakuna nchi africa inazalisha madawa ya kulevya umepigwa changa la macho!
km hujui adui yako anafaidikaje na kutoa siraha bure kwa wanao dhoofisha serikali za kiafrica mjadala huu siyo size yako!
?? ondoka huko porini yanakupita mengi!! au rudi drsani kabisa!
waafrika tumeshindwa vipi kuwagombanisha wazungu wauane kama sisi waafrika.
hatukurupuki kugombanisha ili tupate nini kwa mazeruzeru nefilimu wale??? fikiria kwanza ?? kwa sababu hawana kitu?? wao wanatamani usiku na mchana tulivyo navyo!! hawawezi kuishi bila sisi!
Ni uongo mtupu kusema mtu mzima unachonganishwa mpigane
Hujui uchonganishi ulianzia mbinguni!! sasa kanisani unaendaga kushinda mkuu??... jua saa Mkuu wa ulimwengu alipoteza theluthi tatu ya Malaika!! ajili ya uchonganishi! km una vinasaba vya kiungu hili haliwezi kukupa tabu, kwani kanisani unasali nini km hujui hoja rahisi ivi?
wababe wawili wasiotaka kupata wauliwe Ili wengine wapatane.
hao wababe wawili ni uwakilishi wa Mamillion ya wasudan!! hata ukiwaua siyo suruhisho!... kabila mkubwa alikufa lkn congo bado ilitawaliwa na walewale! mpaka leo haitikisiki na wako mlemle.....
....
waafrika tumeshindwa vipi kuwagombanisha wazungu wauane kama sisi waafrika.
Hatuwahitaji sisi kama wao wanavotuhitaji! ili waishi!...hawana kitu ni maskini tu......wako ivo leo ajili yetu....ila watu km weye hamjui. thamani yenu......tangia Miili yetu mizuri hii, ardhi, urembo na kila kitu tulicho nacho wanatamnai mno! wanaumia sana wanatamani wangekuwa wao!! kifupi tumependelewa mno na Maulana!! kuna watu ambao hamlijui hili la thamani ya mweusi hasa nyie Machotara! poleni sana....
kuwalazimisha kusini wawe waislamu pili kuwabagua hivyo
Si kweli hujui undani wa sakata hilo.......ni sawa na sisi leo tuna wabagua hapa hapa Tanzania na hamjawahi kujitenga??.....thubutu uone km hujarudi mikono nyuma... wala kufurukuta?,

jiwe kawagalagaza weee!! mpaka kajichokea mwenyewe!! kuanzia ndani ya ccm, mpaka vyama vya upinzani! nani kajitenga???? uongo...mpaka kesho hakuna...sasa kwa nini iwe sudani na siyo Bongo! si hapo tu mbele ya Uganda?

mpaka leo Mama anawapeleka mpela mpela na ndevu zenu! km ndugai! hkn wa kumfanya kitu!! .......nani ajitenge weee!! thubutu.... zanzi hao hapo tunawapa mgao nani ajitenge?.....mweee!

jiwe kawaita majina ya hovyo mpaka kajichokea eti watu wazima mnaitwa Majipu mnacheka mchana kweupeeeee!! .... nani alijibu?...wala kujaribu kujitenga?? .....sembuse sudan?

Piga risasi kweupe!!!......umakondeni huko kawapasha wakome kuombaomba mafuta!! kiko wapi!.......haya km haitoshi kabeba korosho na magari ya jeshi!! kapeleka kusiko julikana! na hkn kudai mpaka sasa!! ...sudani yeye nani ajitenge??

Mliufyataaa kimyaaa .........ila nyuma ya key board Mnangenga sana! Wabongo!! .......Makonda kawatia Bakora alivo taka nani ali/ana muuliza?.......labda mwenzio Gwajima alijaribu!! lkn naye tunamzima sababu anajimilikisha kanisa!! na

Helkopta ni Mali ya kanisa!!! lkn kaandika jina lake arudishe kwa waumini! sivyo laa! alipe kodi! ..... hawezi tumia anga letu kirahisi tu! Africans yeyote anae pinga Waafrica hana tofauti na Juda Eskariote!
 
Hii Syrabus ya drs la tano huko! Mkuu! Nilikuwa nadhani unaelewa!! Loool! kuuumbe hata hukufundishwa maadui waafrica weye?...
Huyo jiwe yupo wapi sasa,nani duniani amewahi Pambana na watu akawashinda, alikuwa anakimbiza upepo mbio za sakafuni.Makaonda kabaki yatima ajui kesho yake itakuaje juu ya upumbavu wake sababu ya kudanganywa na waganga waliopiga pesa zake.Ushirikina upunguza uwezo wa kufikiri kwa kupewa matumaini feki.

Mnaweza vipi pigana kwa kuchonganishwa kama hamna uhasama ulioletwa na viongozi. Ujajibu bado kipi wamekosa kukipata hadi wasubirie tuuane ndo wapate?Wakati wanaweza kuja kama wawekezaji kwenye raslimali zetu popote watakapo.

Bado nasema mlioshi zama za vita baridi akili zenu zilishiba chuki. Nyerere hakutaka watu wafikiri nje ya anavyotaka yeye akawashibisha chuki kama sababu ya kufichia kushindwa kwake kwenye uchumi.

Maadui wa Afrika ni njaa, ujinga, maradhi na umasikini ambavyo vyote hivi vimesababishwa na watawala wa kiafrica au kwa jina jingine wanaitwa wakoloni weusi, walipigania UHURU kwa maslai ya matumbo yao na sio maslai ya waafrika.

Thus wakoloni weusi wanaiba kodi zetu wanaficha nje,wanatibiwa nje badala ya kuboresha afya nchi zao,wanasomesha nje badala ya kuboresha elimu .
 
Back
Top Bottom