kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,398
chama cha mashetani ndio kitakua mwisho wao, maana ni kweli kabisa wamevunja maagano yao, so wajiandae kuachia ngazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Future thread.....
Unforgetable
Sasa kama masharti alipewa marehemu na alishakufa tunaendelea kukimbiza mwenge wa nini? Kama adhabu ya kukiuka hilo iko tied na marehemu sidhani kama kuna lolote baya litatokea endapo mbio zake zikisitishwa.
Forojo Ganze ambaye alikuwa ni mmoja kati ya wazee waliotumwa kufanya zindiko la nchi baada ya uhuru mjini Bagamoyo mkoani Pwani.Nilikuwa kwenye kijiwe cha magazeti, mzee mmoja akasema wakimbize tu mwenge, corona itatupita..
Mwenge ni kitu muhimu na kinaleta mwanga kwenye "Giza" kama kuna mshauri amfikishie ujumbe
sikumuelewa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengine yawe yanakupita
Sio kila jambo unalijua
Kuliundia Story Za hovyo
Ipo siri kubwa kuhusu Mwenge wa Uhuru ambao hukimbizwa nchi nzima. Wapo wanaodhani kwamba aliyeleta mabadiliko katika nchi kwa kuanzishwa kwa mwenge huo ni Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere lakini kumbe siyo kwa mujibu wa taarifa hii.Mshana ,sio wote tunamfahamu Forojo...namna ulivoandika Ni Kama vile wote tunamjua...hebu tudondlee. Huyu Ni Nani,kulikuwa na Nini Hadi akatoa utabiri huu
Laana isiyo na sababu haimpati mtu, watu waendelee kuombea nchi, ikiwa ni wakati ambao Mungu ameruhusu CCM ipatwe na mabaya basi itapatwa, ikiwa yeye hajaruhusu basi haitatokea.
Kikubwa uovu wa nchi umeondolewa kwa sasa, ashukuriwe Mungu aliyeumba mbingu na nchi, tuzidi kuombea Taifa letu.
@ mshana jr hebu toa maelezo kidogo ya hii commentMuheshimiwa alisema utakimbizwa kwa muda mfupi sio kwamba hautakimbizwa
Sent using Jamii Forums mobile app