Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI

We bado sana inabidi upige mechi nyingi sana hili uachane na hizo habar za kupima pima kila muda.
 

Haki tena weee hujui, hujawahi pita pabovu , wengi tulikuwa tunasema hivyo hivyo siku ya kikukuta ndo utajua,
 
Nina mademu wawili. Wote wana huo ukimwi wenu feki tena kwa kuwapima mwenyewe kwani walikuwa hawaamini kwamba naweza kuwa nao ili hali wao ni positive mm negative. Nakung'uta kavu na niko sawa kabisa
Noma sana!
 
labda nikushauri tu
Huo utaratibu wako wa kupima halafu ujiaminishe kuwa upo salama utakuponza na kupata maambukizi
hii ni kwa sababu vipimo vya kawaida vya hospitali na hivyo vilivyo mtaani, huweza kudetect virus wa Ukimwi ambao wameshakaa mwilini kwa takribani miezi mitatu. Ina maana mtu aliyeambukizwa chini ya miezi mitatu, kipimo kitaonesha negative ila ukweli ni positive na anaweza kuambukiza.
Kama umenusurika toa sadaka ya Kushukuru Mungu na UACHE UASHARATI ( oa mke wako!!!)
Naandika with confidence kuwa, ukiendelea na huo utaratibu wa kupima na kufanya hapo hapo, utarudi hapa miezi kadhaa ijayo ukiwa na maambukizi huku ukiuliza imekuwaje umepata maambuziki wakati unapima? ( jibu nimesha kupatia hapo juu)
 
Noma sana!
 
Duuh...! Watu mna hatari. Nina rafikiangu nae hana wasiwasi kabisa kuhusiana na HIV. Lakini kiukweli ndio ugonjwa ninaouogopa kuliko chochote hapa duniani. Kwanza unaanza kukuua kisaikorojia kwanza. Ngoma inatisha wakuu asikuambie mtu
 
Kwa taarifa yako TB na malaria kali hupelekea vipimo kusoma +ve. Na kumbuka TB ni magojwa yanayoambukizwa kwa njia ya hewa so obviously huyo mwenza wake asingeweza kuepuka majibu yaliyo sawa na partner wake. We unafukiri kuna cha ajab hapo¡!!!?

Hii science ya huu ugonjwa unachanganya sana,Mara nyingi watu wanaopata TB wakipima HIV inakua +ve wachache sana inakua -ve.
 
Hii science ya huu ugonjwa unachanganya sana,Mara nyingi watu wanaopata TB wakipima HIV inakua +ve wachache sana inakua -ve.
Hakuna cha science hapo. Hili ni genge la matapeli wachache tu walioamua kuzitumia serikali za mazuzu kujichotea pesa za bure. Jiulize kwa nini ARV haiuzwi kama madawa mengine kwenye maduka ya madawa!!!
 
Mm hata mke nakulana Kwa Kondom Huko ujimga wakumwamini MTU nilikuwa taa miaka 3 iliyopita

Kuna jamaa nae anafanya hivi miaka 7 sasa na hawana hata mtoto sasa ile kupima kabla ya ndoa maana yake nini kama mtakua mnatumia kinga kila siku[emoji848]
 
Hakuna cha science hapo. Hili ni genge la matapeli wachache tu walioamua kuzitumia serikali za mazuzu kujichotea pesa za bure. Jiulize kwa nini ARV haiuzwi kama madawa mengine kwenye maduka ya madawa!!!

Yeah hamna labda kwasababu ni bure ndio mana.
 
Kama ni kweli unayoyasimulia na umeamini hilo jione ww ni kilaza na bogas wa mwisho duniani. Ha ha ha, sijui nani katuloga jamani. Elimu elimu elimu inatakiwa sana.

Yani wapiga zumali wakuu wa ukimwi wanawambeni unaweza kuishi nao hata miaka kumi bila dalili yoyote af ww unatuletea habari za miezi 4 na ww unaamini aliuawa na ukimwi kweli???
 
Yeah hamna labda kwasababu ni bure ndio mana.
Nani amekwambia ARV ni bure. Waulize wakuu wa serikali kama ni bure. Yani mzungu akuhurumie ww mtu wa nanjirinji huko akuletee dawa za bure!!
Pole yako
 
Binafsi ningeweza kukuunga mkono kwa hili, but no research, no right to speak, and when you do the research you must come out with evidence which contains data from authenticated sources which can provide truth information about certain phenomena.
 
Wafia dini ya ukimwi hawapendi kabisa kusikia hii habari
 
Sijawahi kupitia comments za watu mwanzo mwisho hv ila huu uzi imebidi[emoji38][emoji38]

Huyu jamaa goodhearted daah kuna tatizo mahali au imekuaje aisee[emoji28]
Sina tatizo lolote mkuu isipokuwa kunawatu wanachagulia wenzao nini wasikie na nini wafikirie na nini wafanye. Sasa ukiukataa huo utumwa unaoenakana wa tofauti sana ktk jamii
 
Naomba Kuuliza Hivi Wazungu Pia Wana Ukimwi?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…