Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.
Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni !
Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja.
Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe wanapigwa Kufuli mdomoni .
Aione Lucas Mwashambwa
Kwani hapa Tanzania wapinzani ni chadema tu, hivi hakuna watu ambao hawana upande wote lakini wanapenda KANUNI na taratibu zifuatwe . Hapa sijawahi kuona ICT , CUF au CHAUBWABWA wakitolewa mifano. NDO tuseme hao ni wenzetu auNa hapo ndipo ninapowapa Tano ccm, maujuzi ya kuwachezesha 'ngarikanyipa' machadema. Chadema inashangilia tu Sasa kama mizuzu isijue chochote kuhusu 'kifuatacho itv'.
Genge la Maza limebamwa vilivyo...CHADEMA wameingia kwenye 18
Kila hatua wanayofanya sasa hivi wanazidi kuborogaHofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.
Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni !
Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja.
Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe wanapigwa Kufuli mdomoni .
lisy to be blockedNa hapo ndipo ninapowapa Tano ccm, maujuzi ya kuwachezesha 'ngarikanyipa' machadema. Chadema inashangilia tu Sasa kama mizuzu isijue chochote kuhusu 'kifuatacho itv'.
Hapana, hao uliowataja wapo busy mno na mambo yao. Ni nadra kuwasikia act au nccr wakiizungumzia chadema au ccm; mara nyingi wapo na yao tu. Lakini chadema, Kila siku, mada na maongezi yao, kuanzia alfajiri ya saa kumi Hadi saa nane ya usiku wanapoenda kulala, ni kuhusu ccm tu na wanachama wake. Mpigie simu mwanachadema yeyote humu jukwaani Sasa hivi na umuulize kesi ya lissu ni lini nakuapia hawezi kukujibu......washasahau. ila ukiwauliza Samia amepita kuwa mgombea wa ccm kwa kifungu Cha ngapi wote watakwambia na watapata.🤣🤣🤣Kwani hapa Tanzania wapinzani ni chadema tu, hivi hakuna watu ambao hawana upande wote lakini wanapenda KANUNI na taratibu zifuatwe . Hapa sijawahi kuona ICT , CUF au CHAUBWABWA wakitolewa mifano. NDO tuseme hao ni wenzetu au

Kiswahili tafadhalilisy to be blocked
We nyumbu mambo ya CCM huyawezi we pambana na nyumbu wenzio. CCM chama kubwa kuendesha mkutano kwa mtandao ni kwa kuwa wana teknolojia, huo ushabiki wa kishamba na mawazo dumavu yako huko kwenu. Mwenyekiti wa CCM siyo km yule lofa wenu aliyeko korokoroni. Mtaokoteza kila tukio na kulipa tafsiri yenu mpk mtajinyea mwaka huu. Ht hamjui Rais yuko wapi, kakimbia kikao, mkutano kufanyika kwa mtandao kaogopa. Wanaharamu nyie. Kuna bwege moja kajiandikia barua na kasahau kusaini kajifanya m/kiti wa CCM mkoa wa Simiyu, inaweza ikawa ni Mpina. CCM ni zaidi ya mnavyoifikiria, ni chama dola, imejaa inteligensia na ukachero wote.Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.
Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni !
Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja.
Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe wanapigwa Kufuli mdomoni .
Msaada kidogo, "Ngarikanyipa" ni ngoma gani?Na hapo ndipo ninapowapa Tano ccm, maujuzi ya kuwachezesha 'ngarikanyipa' machadema. Chadema inashangilia tu Sasa kama mizuzu isijue chochote kuhusu 'kifuatacho itv'.
Mkoa wa SIMIYU wamegoma kushiriki ONLINEHofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.