SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Umeshinda, kwa maana haupo tayari kuelewa bali upo tayari kubishana.Lete hoja zenye kueleweka sio majungu kisa wanasiasa wenu wamechinjiwa baharini huko kwenye vikao vya ndani vya CCM.
Samia hastahili kupingwa ikiwa tunaamua kuishi kwa kufuata tamaduni za miaka yote ndani ya CCM.Umeshinda, kwa maana haupo tayari kuelewa bali upo tayari kubishana.
Mkutano mkuu kwenye mtandao,kweli!?.haya tuone msajili atakuwa na uhakika gani wa akidi ya wajumbe na ushiriki wao kikamilifu!?.Maana 'if serious' asije akazua la kuzua dk za jioni.'If not' kwa nini awepo ofisini.kama anavyojitanabaisha kazi zake ni pamoja kujiridhisha demokrasia inazingatiwa kama anavyofanya kwingine kwa hila.Hongera Simuyu, mikoa mwingine mkishiriki nyie wasaliti.... Hawa watu Wana itisha kikao alafu kwenye mada muhimu za kupitisha, mara pap mtandao unazimwa🙄
Mkutano una Idadi, huyu Samia anataka kupinduliwaHofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.
Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni !
Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja.
Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe wanapigwa Kufuli mdomoni .
Chama cha siasa ni kwa ajili ya jamii,yaani wewe unachojua ni kwamba ukiwa nccr usifuatilie ya cdm au ccm!!!Kichwa majiHapana, hao uliowataja wapo busy mno na mambo yao. Ni nadra kuwasikia act au nccr wakiizungumzia chadema au ccm; mara nyingi wapo na yao tu. Lakini chadema, Kila siku, mada na maongezi yao, kuanzia alfajiri ya saa kumi Hadi saa nane ya usiku wanapoenda kulala, ni kuhusu ccm tu na wanachama wake. Mpigie simu mwanachadema yeyote humu jukwaani Sasa hivi na umuulize kesi ya lissu ni lini nakuapia hawezi kukujibu......washasahau. ila ukiwauliza Samia amepita kuwa mgombea wa ccm kwa kifungu Cha ngapi wote watakwambia na watapata.🤣🤣🤣
Huna akili, kabishane na mahayawani myenzio huko. Nilichokisema sicho ulichokielewa na Haina akili za kukielewa....... nyambaaafChama cha siasa ni kwa ajili ya jamii,uaani wewe unachojua ni kwamba ukiwa nccr usifuatilie ya cdm au ccm!!!Kichwa maji
Mabadiliko ya katiba ya sasa hayaathiri uteuzi wakeHofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.
Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni !
Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja.
Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe wanapigwa Kufuli mdomoni .
Hauna akili, hivi Siasa umeanza kuifatilia Mwaka huu??Wajumbe unaosema wamepigwa kufuli ndio hao hao waliopigwa kufuli na kumpitisha Mkapa mwaka 2000 bila ya kupingwa na yoyote?
Wajumbe hao hao walikuwepo ukumbini mwaka 2010 wakati Kikwete anapitishwa bila kupingwa kuendelea na muhula wa pili?.
Wajumbe hao hao walikuwepo ukumbini mwaka 2020 wakati JPM anapita kwa mara ya pili bila ya kupingwa!?.
Chuki na mizengwe yenu inaishia humu humu jukwaani huko nje haifai chochote.
We bwege kwl hilo bichwa lako limejaa kinyesi. Hujawahi kuwa na akili, unajizushia kila uchafu ili ucheke we zuzu. Hv unajisikiaje? Mburula kwlHofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.
Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni !
Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja.
Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe wanapigwa Kufuli mdomoni .
We mbwa koko hakuna unalojua kuhusu CCM we hangaika na nyumbu wenzako. Mna stress mpk mnatia huruma mnadandia ht msichokielewa.Hauna akili, hivi Siasa umeanza kuifatilia Mwaka huu??
Unamesoma vizuri Katiba ya Nchi, Katiba ya CCM ??
chilia Mbali Katiba ya CHADEMA ambayo wee si Mwanachama?.
Hao unaowatolea mfano, Urais wao Awamu ya Kwanza ulipatikanaje ???.
Hao ndio maana wanaitwa nyumbu, zero brainHapana, hao uliowataja wapo busy mno na mambo yao. Ni nadra kuwasikia act au nccr wakiizungumzia chadema au ccm; mara nyingi wapo na yao tu. Lakini chadema, Kila siku, mada na maongezi yao, kuanzia alfajiri ya saa kumi Hadi saa nane ya usiku wanapoenda kulala, ni kuhusu ccm tu na wanachama wake. Mpigie simu mwanachadema yeyote humu jukwaani Sasa hivi na umuulize kesi ya lissu ni lini nakuapia hawezi kukujibu......washasahau. ila ukiwauliza Samia amepita kuwa mgombea wa ccm kwa kifungu Cha ngapi wote watakwambia na watapata.🤣🤣🤣
Hapana, hao uliowataja wapo busy mno na mambo yao. Ni nadra kuwasikia act au nccr wakiizungumzia chadema au ccm; mara nyingi wapo na yao tu. Lakini chadema, Kila siku, mada na maongezi yao, kuanzia alfajiri ya saa kumi Hadi saa nane ya usiku wanapoenda kulala, ni kuhusu ccm tu na wanachama wake. Mpigie simu mwanachadema yeyote humu jukwaani Sasa hivi na umuulize kesi ya lissu ni lini nakuapia hawezi kukujibu......washasahau. ila ukiwauliza Samia amepita kuwa mgombea wa ccm kwa kifungu Cha ngapi wote watakwambia na watapata.🤣
Mazingira ya urais wao ni tofauti na huu wa Samia, aliingia ikulu baada ya kifo cha JPM, mlitaka aache kuongoza nchi muda ile aingie akafanye siasa za kuchukua fomu, hamuoni kwamba nyinyi ndio hamna akili!??.Hauna akili, hivi Siasa umeanza kuifatilia Mwaka huu??
Unamesoma vizuri Katiba ya Nchi, Katiba ya CCM ??
chilia Mbali Katiba ya CHADEMA ambayo wee si Mwanachama?.
Hao unaowatolea mfano, Urais wao Awamu ya Kwanza ulipatikanaje ???.
We nyumbu mambo ya CCM huyawezi we pambana na nyumbu wenzio. CCM chama kubwa kuendesha mkutano kwa mtandao ni kwa kuwa wana teknolojia, huo ushabiki wa kishamba na mawazo dumavu yako huko kwenu. Mwenyekiti wa CCM siyo km yule lofa wenu aliyeko korokoroni. Mtaokoteza kila tukio na kulipa tafsiri yenu mpk mtajinyea mwaka huu. Ht hamjui Rais yuko wapi, kakimbia kikao, mkutano kufanyika kwa mtandao kaogopa. Wanaharamu nyie. Kuna bwege moja kajiandikia barua na kasahau kusaini kajifanya m/kiti wa CCM mkoa wa Simiyu, inaweza ikawa ni Mpina. CCM ni zaidi ya mnavyoifikiria, ni chama dola, imejaa inteligensia na ukachero wote.