Hofu ya Wajumbe kupindua Meza ya Genge la Samia, imewafanya Waitishe Mkutano mitandaoni ili kurekebisha Katiba Imfae Samia na Genge lake !

Hapana, hao uliowataja wapo busy mno na mambo yao. Ni nadra kuwasikia act au nccr wakiizungumzia chadema au ccm; mara nyingi wapo na yao tu. Lakini chadema, Kila siku, mada na maongezi yao, kuanzia alfajiri ya saa kumi Hadi saa nane ya usiku wanapoenda kulala, ni kuhusu ccm tu na wanachama wake. Mpigie simu mwanachadema yeyote humu jukwaani Sasa hivi na umuulize kesi ya lissu ni lini nakuapia hawezi kukujibu......washasahau. ila ukiwauliza Samia amepita kuwa mgombea wa ccm kwa kifungu Cha ngapi wote watakwambia na watapata.🤣🤣🤣
Uchochezi huo sasa
 
We nyumbu mambo ya CCM huyawezi we pambana na nyumbu wenzio. CCM chama kubwa kuendesha mkutano kwa mtandao ni kwa kuwa wana teknolojia, huo ushabiki wa kishamba na mawazo dumavu yako huko kwenu. Mwenyekiti wa CCM siyo km yule lofa wenu aliyeko korokoroni. Mtaokoteza kila tukio na kulipa tafsiri yenu mpk mtajinyea mwaka huu. Ht hamjui Rais yuko wapi, kakimbia kikao, mkutano kufanyika kwa mtandao kaogopa. Wanaharamu nyie. Kuna bwege moja kajiandikia barua na kasahau kusaini kajifanya m/kiti wa CCM mkoa wa Simiyu, inaweza ikawa ni Mpina. CCM ni zaidi ya mnavyoifikiria, ni chama dola, imejaa inteligensia na ukachero wote.
Acha kupanick dogo, mbeleko ya vyombo vya dola isikupe kiburi. Iko siku upepo utageuka hutaamini.
 
Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.

Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni !

Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja.

Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe wanapigwa Kufuli mdomoni .
Wajumbe unaosema wamepigwa kufuli ndio hao hao waliopigwa kufuli na kumpitisha Mkapa mwaka 2000 bila ya kupingwa na yoyote?

Wajumbe hao hao walikuwepo ukumbini mwaka 2010 wakati Kikwete anapitishwa bila kupingwa kuendelea na muhula wa pili?.

Wajumbe hao hao walikuwepo ukumbini mwaka 2020 wakati JPM anapita kwa mara ya pili bila ya kupingwa!?.

Chuki na mizengwe yenu inaishia humu humu jukwaani huko nje haifai chochote.
 
Naomba Mungu Kesho atokee mzalendo azime umeme
 
We nyumbu mambo ya CCM huyawezi we pambana na nyumbu wenzio. CCM chama kubwa kuendesha mkutano kwa mtandao ni kwa kuwa wana teknolojia, huo ushabiki wa kishamba na mawazo dumavu yako huko kwenu. Mwenyekiti wa CCM siyo km yule lofa wenu aliyeko korokoroni. Mtaokoteza kila tukio na kulipa tafsiri yenu mpk mtajinyea mwaka huu. Ht hamjui Rais yuko wapi, kakimbia kikao, mkutano kufanyika kwa mtandao kaogopa. Wanaharamu nyie. Kuna bwege moja kajiandikia barua na kasahau kusaini kajifanya m/kiti wa CCM mkoa wa Simiyu, inaweza ikawa ni Mpina. CCM ni zaidi ya mnavyoifikiria, ni chama dola, imejaa inteligensia na ukachero wote.
Imejaa intelijensia na ukachero wote, ila watekaji hawajulikani mpaka leo.
 
Hao hata angekutana nao ingekuwa makofii kwani wangepata pesa hii watanuna watakuwa wanadikiliza TV but mfukoni no food wewe waangalie watakuwa wanashangilia kinafiki
 
Wajumbe unaosema wamepigwa kufuli ndio hao hao waliopigwa kufuli na kumpitisha Mkapa mwaka 2000 bila ya kupingwa na yoyote?

Wajumbe hao hao walikuwepo ukumbini mwaka 2010 wakati Kikwete anapitishwa bila kupingwa kuendelea na muhula wa pili?.

Wajumbe hao hao walikuwepo ukumbini mwaka 2020 wakati JPM anapita kwa mara ya pili bila ya kupingwa!?.

Chuki na mizengwe yenu inaishia humu humu jukwaani huko nje haifai chochote.
Amevunja katiba ya chama, na amevunja katiba ya nchi. Hiki kimama kitakufa kifo kibaya sana.
 
Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.

Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni !

Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja.

Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe wanapigwa Kufuli mdomoni .
1753461691420.jpeg
 
Back
Top Bottom