Hofu ya Wajumbe kupindua Meza ya Genge la Samia, imewafanya Waitishe Mkutano mitandaoni ili kurekebisha Katiba Imfae Samia na Genge lake !

Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.

Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni !

Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja.

Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe wanapigwa Kufuli mdomoni .
Haahaa hizi zote ni mbinu za mzee wa msoga
 
Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.

Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni !

Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja.

Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe wanapigwa Kufuli mdomoni .
Akahairisha = akaahirisha , wewe ulikuwa unapata mayai shuleni
 
Kwann wafanye makutano Kwa njia ya mtandao? Wanahofia Nini? Toka tupate uhuru haijawahi kutokea hii lazima huko CCM Hali ni Tete wanatafuta namna ya kumvusha mgombea asiyependwa na wajumbe wengi wa mkutano mkuu.
 
KAMA WAKIBADILISHA KANUNI ILI KUMPENDELEA SAMIA KUHUSU UHARAMIA ALIOUFANYA WA KIJITEUA HATUTAKUBALI SISI WAPENDA MAENDELEO.WAKILAZIMISHA LAZIMA NCHI INUKE
Hahaha mfuasi wa Ufipa anapambana na mikutano ya CCM maskini wameishamsahu kamanda Lissu sasa hivi wamejikita Dodoma hama tena No Rifomu no Elkisheni😂
 
Hali ya CCM sasa ni sawa na methali hizi tatu "Sikio la Kufa" au "Mfa maji" au "Kifo cha nyani"
 
We bwege kwl hilo bichwa lako limejaa kinyesi. Hujawahi kuwa na akili, unajizushia kila uchafu ili ucheke we zuzu. Hv unajisikiaje? Mburula kwl
Mwaka huu mna kazi kubwa sn humu mitandaoni kumpigania kahaba wenu maana hauziki !
 
Hapana, hao uliowataja wapo busy mno na mambo yao. Ni nadra kuwasikia act au nccr wakiizungumzia chadema au ccm; mara nyingi wapo na yao tu. Lakini chadema, Kila siku, mada na maongezi yao, kuanzia alfajiri ya saa kumi Hadi saa nane ya usiku wanapoenda kulala, ni kuhusu ccm tu na wanachama wake. Mpigie simu mwanachadema yeyote humu jukwaani Sasa hivi na umuulize kesi ya lissu ni lini nakuapia hawezi kukujibu......washasahau. ila ukiwauliza Samia amepita kuwa mgombea wa ccm kwa kifungu Cha ngapi wote watakwambia na watapata.🤣🤣🤣
Hayo ni mawazo yako finyu. Tunapambana na CCM kwasababu ndicho Chama kilichoshika Serikali. Serikali iliyojaa madhulumati. Hata hiyo kesi ya Mh Lisu ww pia unafahamu ni ya namna gani na kwasababu gani.

CCM wametutendea mabaya kwenye giza na sasa mabaya hayo wanatendeana wenyewe kwa wenyewe nuruni. Hapo ndipo mtakapotambua uwepo wa Mungu.
 
Hatuna Rais.
Magu jembe kafariki kuna kituko gani sijui kinaongoza nchi.
Kuna mahali mtu unasema tumetoka Brazil kumbe kwenu kurasini hapo Barack za polisi
 
Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.

Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni !

Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja.

Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe wanapigwa Kufuli mdomoni .
Teknolojia
 
Na hapo ndipo ninapowapa Tano ccm, maujuzi ya kuwachezesha 'ngarikanyipa' machadema. Chadema inashangilia tu Sasa kama mizuzu isijue chochote kuhusu 'kifuatacho itv'.
una ujauzito wa chadema
 
Hayo ni mawazo yako finyu. Tunapambana na CCM kwasababu ndicho Chama kilichoshika Serikali. Serikali iliyojaa madhulumati. Hata hiyo kesi ya Mh Lisu ww pia unafahamu ni ya namna gani na kwasababu gani.

CCM wametutendea mabaya kwenye giza na sasa mabaya hayo wanatendeana wenyewe kwa wenyewe nuruni. Hapo ndipo mtakapotambua uwepo wa Mungu.
Kwahiyo mpaka Leo nyumbu wewe Bado hujui sababu ya kukamatwa huyo chiba wenu?!!!! Pole sana basi.
 
Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.

Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni !

Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja.

Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe wanapigwa Kufuli mdomoni .
Hueleweki
 
Tujenge utamaduni wa kudhibiti viongozi wetu kama wanavunja sheria ya nchi tusiogope na tukiwa na uoga tutawaliwa na dictators
 
Back
Top Bottom