Hofu ya Wajumbe kupindua Meza ya Genge la Samia, imewafanya Waitishe Mkutano mitandaoni ili kurekebisha Katiba Imfae Samia na Genge lake !

Hongera Simuyu, mikoa mwingine mkishiriki nyie wasaliti.... Hawa watu Wana itisha kikao alafu kwenye mada muhimu za kupitisha, mara pap mtandao unazimwa🙄
Mkutano mkuu kwenye mtandao,kweli!?.haya tuone msajili atakuwa na uhakika gani wa akidi ya wajumbe na ushiriki wao kikamilifu!?.Maana 'if serious' asije akazua la kuzua dk za jioni.'If not' kwa nini awepo ofisini.kama anavyojitanabaisha kazi zake ni pamoja kujiridhisha demokrasia inazingatiwa kama anavyofanya kwingine kwa hila.
 
Mkutano una Idadi, huyu Samia anataka kupinduliwa
 
Chama cha siasa ni kwa ajili ya jamii,yaani wewe unachojua ni kwamba ukiwa nccr usifuatilie ya cdm au ccm!!!Kichwa maji
 
Chama cha siasa ni kwa ajili ya jamii,uaani wewe unachojua ni kwamba ukiwa nccr usifuatilie ya cdm au ccm!!!Kichwa maji
Huna akili, kabishane na mahayawani myenzio huko. Nilichokisema sicho ulichokielewa na Haina akili za kukielewa....... nyambaaaf
 
Uhuni anaosema polepole unajidhihilisha waziwazi.
 
Mabadiliko ya katiba ya sasa hayaathiri uteuzi wake
 
Hauna akili, hivi Siasa umeanza kuifatilia Mwaka huu??

Unamesoma vizuri Katiba ya Nchi, Katiba ya CCM ??

chilia Mbali Katiba ya CHADEMA ambayo wee si Mwanachama?.

Hao unaowatolea mfano, Urais wao Awamu ya Kwanza ulipatikanaje ???.
 
Kwa hiyo mtandaoni hoja haisikilizwi? Wakati wa mkutano wa mwanzoni mea mwaka huu mbona hakupinga ambapo mkutano ulikuwa wa moja kwa moja? Lakini mimi na wewe tunajua ni kipengele gani cha katiba kinaenda kurekebishwa? Turuhusuni muda ufanye kazi yake ndg zangu
 
We bwege kwl hilo bichwa lako limejaa kinyesi. Hujawahi kuwa na akili, unajizushia kila uchafu ili ucheke we zuzu. Hv unajisikiaje? Mburula kwl
 
We
Hauna akili, hivi Siasa umeanza kuifatilia Mwaka huu??

Unamesoma vizuri Katiba ya Nchi, Katiba ya CCM ??

chilia Mbali Katiba ya CHADEMA ambayo wee si Mwanachama?.

Hao unaowatolea mfano, Urais wao Awamu ya Kwanza ulipatikanaje ???.
We mbwa koko hakuna unalojua kuhusu CCM we hangaika na nyumbu wenzako. Mna stress mpk mnatia huruma mnadandia ht msichokielewa.
 
Hao ndio maana wanaitwa nyumbu, zero brain
 
 
Duu....
 

Attachments

  • CCMSIMIYU25JUL2025.jpg
    1.6 MB · Views: 23
Hauna akili, hivi Siasa umeanza kuifatilia Mwaka huu??

Unamesoma vizuri Katiba ya Nchi, Katiba ya CCM ??

chilia Mbali Katiba ya CHADEMA ambayo wee si Mwanachama?.

Hao unaowatolea mfano, Urais wao Awamu ya Kwanza ulipatikanaje ???.
Mazingira ya urais wao ni tofauti na huu wa Samia, aliingia ikulu baada ya kifo cha JPM, mlitaka aache kuongoza nchi muda ile aingie akafanye siasa za kuchukua fomu, hamuoni kwamba nyinyi ndio hamna akili!??.

Ombwe la Rais ndio linalotakiwa haraka sana lizibwe, akafanya hivyo baada ya kuapishwa.

Huu mwaka 2025 mwezi Oktoba anaanza muhula wa pili, hahitaji kuzunguka huko mikoani kwa taratibu na tamaduni za chama.

Mkuu nazifahamu hizi siasa tangu nikiwa mdogo sana.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…