Hakuna jimbo litakalo gawanywa..
It is very expensive kugawa jimbo, gharama zake ni billions, serikali ya Mama Samia, sitegemei ifanye hilo, kwani Mrisho Gambo au Tulia Ackson mfano wakikosa au kuanguka ktk kura zaijazo 2025 wao ni nani, CCM iko pale pale, Rais wetu ni yule yule, Mama yetu Samia, Chama ni CCM, watu wachache hao wakikosa ubunge haina shida.
Kugawa jimbo ni gharama kubwa mno kwa nchi, na sbb za kagawa jimbo ziko wazi na sio eti iwe sbb fulani anahisi atashindwa jimbo ligawanywe, hilo hapana asilani