Hofu yatanda kwa Wabunge wa CCM, baada ya Tulia Ackson sasa Mrisho Gambo ataka jimbo la Arusha ligawanywe

Hofu yatanda kwa Wabunge wa CCM, baada ya Tulia Ackson sasa Mrisho Gambo ataka jimbo la Arusha ligawanywe

Kugawanya majimbo ni kuongeza gharama maana mbunge mpya atahitaji gari, mshahara na benfits nyinginezo. Nchi hii kila mwanasiasa anapigania tumbo lake sio upinzani wala CCM. Asije kudanganya mtu kuwa ana uchungu sana na nchi . Hizo huwa ni hadaa tu.

Nchi hujengwa kwa kuanza na mtu binafsi then familia na ndicho wanasiasa wa nchi hii wanafanya kwa kupigania maslahi yao binafsi na familia zao huku wakijificha kwenye kichaka cha kutetea wanyonge.
Kwa hiyo wewe unaona sawa tu mbunge anawalilisha watu elifu 20 na mwingine anawalilisha watu milioni na mshahara na posho sawa hela yetu ya kodi ni sawa tuu?? Toa jibu
 
Pengine kwa mshangao,hofu au uchungu mwingi
Mimi sio mwana CCM ila ni ngumu sana CCM kuacha Tulia apoteze jimbo trust me, itatumika namna yyte kufanikisha mpango.
 
Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali , baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli , Dr Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja anapambana kivyake ili asisombwe na upepo mkali wa Chadema .

Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Mrisho Gambo naye amejitokeza hadharani kuomba Serikali ya Tanzania kupanua goli kwa kuligawa Jimbo la Arusha Mjini na kuleta Jimbo Jipya la Murriet , hofu yake kuu ikiwa ni kupambana na Godbless Lema .

Tunatoa wito kwa wabunge wengine wa ccm wenye hofu ya kuangukia pua 2025 wajiorodheshe ili serikali ambayo nayo ni ya ccm iwafanyie wepesi .
CCM na demecrasia ni maji na mafuta, ngoja inyeshe tujue wapi inapo vuja
 
Mimi sio mwana CCM ila ni ngumu sana CCM kuacha Tulia apoteze jimbo trust me, itatumika namna yyte kufanikisha mpango.
Kwan huyu Bibi kizee ana nn chamaana hapo bungen, yy ckapiga teke report ya CAG, mambieni hii report itamtokea puani
 
Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali , baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli , Dr Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja anapambana kivyake ili asisombwe na upepo mkali wa Chadema .

Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Mrisho Gambo naye amejitokeza hadharani kuomba Serikali ya Tanzania kupanua goli kwa kuligawa Jimbo la Arusha Mjini na kuleta Jimbo Jipya la Murriet , hofu yake kuu ikiwa ni kupambana na Godbless Lema .

Tunatoa wito kwa wabunge wengine wa ccm wenye hofu ya kuangukia pua 2025 wajiorodheshe ili serikali ambayo nayo ni ya ccm iwafanyie wepesi .
Kumbe majimbo yanagawanywa kwasababu ya kuwaogopa cdm?
Nilidhani ni kwasababu za kimaendeleo.Lakini kuna majimbo yaligawanywa hata wakati cdm hawapo
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Sugu akileta huo utoto wake wa kumfata Tulia popote atakapogombea ni dhahiri hatutamuona bungeni 2025, CCM lazima wahakikishe Tulia anarudi mjengoni by any means. Kama Sugu anania ya ubunge asishindane na yule tolu.
 
Sijaelewa Samia anawaza nini.

Ila kukosana na watu wake halafu unategemea wapinzani wakusaidie the likes of Mbowe sioni kama anafanya maamuzi sahihi.

Anadanganywa.
Ni terms and conditions za mikopo sio yy mkuu,, 2025 chadema watakuwa kama wote bungeni
 
Sugu akileta huo utoto wake wa kumfata Tulia popote atakapogombea ni dhahiri hatutamuona bungeni 2025, CCM lazima wahakikishe Tulia anarudi mjengoni by any means. Kama Sugu anania ya ubunge asishindane na yule tolu.
Hapa hapa hapa Tunataka tuone mtanange wa kukata na shoka wa sugu na tulia
 
Mama anataka demokrasia ichukue mkondo wake. Ni makini kuliko watu wanavyomfikiria.She is so smart.
 
Kwa jinsi Tulia alivyocheka nikaukumbuka ule ugonjwa wa kucheka uliokuwa unawapata wasichana shule za bweni.
Ili upone unahitaji something [emoji7]
Something anayo tayar Tena Nadhani alipewa cheo fln hv na mama
 
Sugu akileta huo utoto wake wa kumfata Tulia popote atakapogombea ni dhahiri hatutamuona bungeni 2025, CCM lazima wahakikishe Tulia anarudi mjengoni by any means. Kama Sugu anania ya ubunge asishindane na yule tolu.
Katiba mpya si mchezo , endelea kuota , angalia picha hii

FB_IMG_1683035648414.jpg
 
Jamaa anafanya watu wajinga.Ni bora umemuumbua.Eti huyu naye ni think tank!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anadhani sote ni mazwazwa....

Think tank huyu wa CDM banaaa....
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hakuna nisichokijua , lakini wakina nani walikuwa nyuma ya hili ?
Erthyrocyte king'ang'anizi wee [emoji1787][emoji1787]

Acha kutengeneza "conspiracy theory"....masuala ya migodi yako chini ya wizara......
 
Back
Top Bottom