MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
CHADEMA ya sasa ni weupe zaidi. Watu makini wamepungua sana. Nakumbuka Dr Slaa enzi zile karibu uongozi wote wa CCM mkoa unapiga kambi Karatu kuhakikisha wanarudisha jimbo CCM kumbe Dr Slaa nae kapenyeza mamluki kama wote ndani ya CCM. Siku ya uchaguzi CCM tunaishia kulaumu Dr kaiba kura. Ilikuwa sio poa muziki wa yule Mzee. Alikuwa anapendwa kuliko kawaida.Weupe kinoma yaani
Huko hali ilikuwa hivi , fuatiliaKamarada Gambo wala hana mchecheto na Lema ila tu jimbo ni kubwa kuligawanya ni jambo jema....
Kwani lilipogawanywa Jimbo la Nzega kulikuwa na makada wa CHADEMA?!!!
Kwa hiyo Dr.Kigwangwala na mh.Bashe ni M4C?!!!![emoji1787][emoji1787]
Mama hatogombeaHakuna jimbo litakalo gawanywa..
It is very expensive kugawa jimbo, gharama zake ni billions, serikali ya Mama Samia, sitegemei ifanye hilo, kwani Mrisho Gambo au Tulia Ackson mfano wakikosa au kuanguka ktk kura zaijazo 2025 wao ni nani, CCM iko pale pale, Rais wetu ni yule yule, Mama yetu Samia, Chama ni CCM, watu wachache hao wakikosa ubunge haina shida.
Kugawa jimbo ni gharama kubwa mno kwa nchi, na sbb za kagawa jimbo ziko wazi na sio eti iwe sbb fulani anahisi atashindwa jimbo ligawanywe, hilo hapana asilani
Hii hadithi yako inatufundisha nini ?CHADEMA ya sasa ni weupe zaidi. Watu makini wamepungua sana. Nakumbuka Dr Slaa enzi zile karibu uongozi wote wa CCM mkoa unapiga kambi Karatu kuhakikisha wanarudisha jimbo CCM kumbe Dr Slaa nae kapenyeza mamluki kama wote ndani ya CCM. Siku ya uchaguzi CCM tunaishia kulaumu Dr kaiba kura. Ilikuwa sio poa muziki wa yule Mzee. Alikuwa anapendwa kuliko kawaida.
Matukio mawili tofauti.....
ilikuwa mwaka gani ?aliyeinjinia hili unamjua , unadhani ni kwanini ?Matukio mawili tofauti.....
Hebu uwe mkweli basi [emoji1787][emoji1787]
Hapo mh.Kigwangwala ni mbunge na alikwenda kwa wananchi wa Jimbo lake waliokuwa wanaandamana.....
Kumbe RBC huwa una "kamba sana" [emoji1787][emoji1787]
2014.....ilikuwa mwaka gani ?aliyeinjinia hili unamjua , unadhani ni kwanini ?
Wala hatubishani , unaweza kuniambia wakati huo bashe alikuwa wapi ? haukuwa wakati ambao analisaka jimbo ?2014.....
Mgogoro wa wachimbaji wadogo na mgodi mkubwa jirani wa RESOLUTE......
Acha "conspiracy" RBC.....[emoji1787][emoji1787]
Hii ni mbaya Sana hii ishanitesa[emoji38][emoji38]Wanapitia hali inayoitwa kimombo .. Fear of unknown...!!!
Idea hiyo imepunguza sana upinzani wa ndani ya chama chake.Sijaelewa Samia anawaza nini.
Ila kukosana na watu wake halafu unategemea wapinzani wakusaidie the likes of Mbowe sioni kama anafanya maamuzi sahihi.
Anadanganywa.
Acha kutengeneza FALSE ALLEGATIONS ili tu uitakase hoja yako.....Wala hatubishani , unaweza kuniambia wakati huo bashe alikuwa wapi ? haukuwa wakati ambao analisaka jimbo ?
Hakuna nisichokijua , lakini wakina nani walikuwa nyuma ya hili ?Acha kutengeneza FALSE ALLEGATIONS ili tu uitakase hoja yako.....
Kumbe hata hujui kilichotokea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo uliyemtaja na mgodi wa Resolute wanahusika vipi ?!!!
Nikwambie.....
Wachimbaji wadogo walikuwa wanahamishwa kupisha mgodi mkubwa wa RESOLUTE.....
Si wamesema tupime kina Cha maji( dola) mbona hofu nyingi sasa.Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali , baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli , Dr Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja anapambana kivyake ili asisombwe na upepo mkali wa Chadema .
Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Mrisho Gambo naye amejitokeza hadharani kuomba Serikali ya Tanzania kupanua goli kwa kuligawa Jimbo la Arusha Mjini na kuleta Jimbo Jipya la Murriet , hofu yake kuu ikiwa ni kupambana na Godbless Lema .
Tunatoa wito kwa wabunge wengine wa ccm wenye hofu ya kuangukia pua 2025 wajiorodheshe ili serikali ambayo nayo ni ya ccm iwafanyie wepesi .
We pia una hofu😅😅Sijaelewa Samia anawaza nini.
Ila kukosana na watu wake halafu unategemea wapinzani wakusaidie the likes of Mbowe sioni kama anafanya maamuzi sahihi.
Anadanganywa.
Unawavunja moyo wanaccm uchwara.Hakuna jimbo litakalo gawanywa..
It is very expensive kugawa jimbo, gharama zake ni billions, serikali ya Mama Samia, sitegemei ifanye hilo, kwani Mrisho Gambo au Tulia Ackson mfano wakikosa au kuanguka ktk kura zaijazo 2025 wao ni nani, CCM iko pale pale, Rais wetu ni yule yule, Mama yetu Samia, Chama ni CCM, watu wachache hao wakikosa ubunge haina shida.
Kugawa jimbo ni gharama kubwa mno kwa nchi, na sbb za kagawa jimbo ziko wazi na sio eti iwe sbb fulani anahisi atashindwa jimbo ligawanywe, hilo hapana asilani
Tamaa mbaya sana. Na ukame woote huu wa uchumi wao hawajali kabisa.Wanasiasa wachumia Tumbo wasikuingize Chaka.
Tamaa zao za madaraka zisizojali wananchi na mzigo wa kodi kulea wanasiasa zisikuyumbishe.
Achana nao ni tamaa tu wanaona kama 2025 hawatoboi.
Kama wameshindwa kuwatumikia Wanachi kwa weledi kwa sasa hao achana nao.
Kila mtu ashinde mechi zake 2025
Ni kweli ili niwaulize tume ya uchaguz ni ipiHata akiongeza watapigwa kila jimbo
Jamaa anafanya watu wajinga.Ni bora umemuumbua.Eti huyu naye ni think tank!Matukio mawili tofauti.....
Hebu uwe mkweli basi [emoji1787][emoji1787]
Hapo mh.Kigwangwala ni mbunge na alikwenda kwa wananchi wa Jimbo lake waliokuwa wanaandamana.....
Kumbe RBC huwa una "kamba sana" [emoji1787][emoji1787]