Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejaa ujinga na ushabiki. Hatutaki maneno wala blah blah Iran amesema Israel akilipa kisasi basi watarudishiwa dozi kamili ndani ya sekunde chache.Wanakimbizana, hofu imewatawala, na wanaweza kukimbizana kama watoto halafu Israel wasishambulie, siku wakitulia ndio watapigwa washangae imekuwaje.
Siamini kama wanaweza kuwaficha hao makamanda wao Israel wasijue walipo, kama waliwa detect wale wa mwanzo wakawaua, hao wengine wataenda kuwaficha wapi?
Wewe pia ni Mzayuni? Yaani Iran itishwe na nchi inayopakatwa na mabwana zake US na UK?Ayatollaah siku ya 4 leo hapati choo, tumbo limejaa hofu inayosababisha kujaa gesi sana anajamba jambaa tu, na hofu ya Israel isikieni tu, na akikosa choo siku 20 lazima afe
Haha..Iran imetorosha makamanda wake kutoka Syria, pia viongozi wa Hezbollah wameanza kufichwa.......
Hahahaha mbona kinyonge hivyo leo ujaandika gazeti wewe si ulikuwa unasema Iran anabweka tu😃Hakuna namna Iran ijiandae kupigwa tu.
Wairan wanafanya mazoezi makali mno ya kivita we unasema upuuzi?Endeleeni na huu upuuzi huko mitandaoni wenzenu wamenipanga wapo seriously. haya
Namjua, amekariri juzuu ya kwanza mpaka ya mwishoHuyu Ayatollah alikua mbishi mbishi tangu nasoma nae madrasa shamsil maarif Tanga
🤣🤣 hayaWairan wanafanya mazoezi makali mno ya kivita we unasema upuuzi?
Wakae kwa kutulia.Mossad itawafuata popote,katika sayari yoyote walipo na watapewa zawadi yao/pay the price!Tatizo Israel hufanya baadaye mnapata matokeo, hivyo haijulikani watafanya wapi au kivipi, hofu imeanza kutanda kote, Iran imetorosha makamanda wake kutoka Syria, pia viongozi wa Hezbollah wameanza kufichwa.......
Iran pulling senior officers out of Syria
As part of those preparations, Iran has also begun evacuating Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) personnel from sites in Syria, the Wall Street Journal reported on Wednesday citing Syrian and Iranian officials and advisers.
Hezbollah has also reduced the presence of senior officers in Syria as well, while also increasing the number of personnel along the Syrian-Israeli border in order to collect intelligence, Syrian security officials told the Wall Street Journal.
![]()
Iranian Navy escorting ships in Red Sea amid prep for Israeli retaliation
Iran has reportedly begun evacuating IRGC personnel from sites in Syria as tensions rise in the region.www.jpost.com
Unaandika kama mnyamwezi wa Ntalikwa au Isanjandugu kilabuni.Ameshindwa kupata watu wake waliofichwa katika eneo dogo sawa na wilaya ya ukelewe ataweza kuwaona watu watakaofichwa eneo kubwa kuliko nchi ya tanzania. Yaani mtu afichwe ilan wamuone ila washindwe kuona mateka waliofichwa gaza?
Wazao wa Israel unawajua wewe? Unadhani kina Netanyahu hao hata ukapime damu zao hawatokani na uzazi wa Yakobo hata siku moja.Ukiyafuata ku-deal na Yahudi Uta-deal na Mungu wake!
👇👇
Yeremia.31:37-40
37 Bwana asema hivi, Kama mbingu zikiweza kupimwa, na misingi ya dunia ikiweza kugunduliwa huko chini, ndipo wazao wa Israeli pia nitawatupilia mbali, kwa ajili ya hayo yote waliyoyatenda, asema Bwana.
49:23
[23]Na wafalme watakuwa baba zako za kulea, na malkia zao mama zako za kulea; watainama mbele yako kifudifudi, na kuramba mavumbi ya miguu yako; nawe utajua ya kuwa mimi ni BWANA, tena waningojeao hawatatahayarika.
Uliwapima ukapata hayo uliyoyaandika au ukishalishwa uongouongo na maadui zao ndiyo na wewe unasambaza tu kama hauna kichwa?Wazao wa Israel unawajua wewe? Unadhani kina Netanyahu hao hata ukapime damu zao hawatokani na uzazi wa Yakobo hata siku moja.
Afu kizazi na nchi wapi na wapi, hivi kumbe nchi zinazaa au watu ndio wanazaa 😄
Lini mtapata akili kuna tofouti kumpoint mtu na kizazi chake na kupoint nchi,kwanza Israel ilikuja kundwa c 1948 aliw andika bibilia alikusudia Israel ipi?
Kondoo atabaki kuwa kondoo tu 😄
dogo walisha pimwa hao hawana asili ya hapo, wenye asili ya pale ni wale majewish orignally ambao wao na warabu hawana matatizo hata siku moja, na wanasali kama waislam c hao wakutingisha vichwa kwenye ukuta 😄Uliwapima ukapata hayo uliyoyaandika au ukishalishwa uongouongo na maadui zao ndiyo na wewe unasambaza tu kama hauna kichwa?
Hivi Israel imeuwa viongozi wangapi wa iran mpaka sasa???Ameshindwa kupata watu wake waliofichwa katika eneo dogo sawa na wilaya ya ukelewe ataweza kuwaona watu watakaofichwa eneo kubwa kuliko nchi ya tanzania. Yaani mtu afichwe ilan wamuone ila washindwe kuona mateka waliofichwa gaza?
Bado umesimuliwa tu.Je,aliyekusimulia nia yake ilikuwa ni nini hasa?dogo walisha pimwa hao hawana asili ya hapo, wenye asili ya pale ni wale majewish orignally ambao wao na warabu hawana matatizo hata siku moja, na wanasali kama waislam c hao wakutingisha vichwa kwenye ukuta 😄
What was Netanyahu's original name?
Benzion Mileikowsky (later Netanyahu) was born in Warsaw in partitioned Poland, which was under Russian control, to Sarah (Lurie) and the writer and Zionist activist Nathan Mileikowsky.
Hao ni ma zionist c Majewish
Mbona wameshindwa kuwakomboa mateka wao kutoka Hamas ,wameshindwa kujua walipo ,,Wanakimbizana, hofu imewatawala, na wanaweza kukimbizana kama watoto halafu Israel wasishambulie, siku wakitulia ndio watapigwa washangae imekuwaje.
Siamini kama wanaweza kuwaficha hao makamanda wao Israel wasijue walipo, kama waliwa detect wale wa mwanzo wakawaua, hao wengine wataenda kuwaficha wapi?
Kama vile ushawahi hata muona vile.Ayatollaah siku ya 4 leo hapati choo, tumbo limejaa hofu inayosababisha kujaa gesi sana anajamba jambaa tu, na hofu ya Israel isikieni tu, na akikosa choo siku 20 lazima afe
Tangu makamanda wa 7 wa iran wapigwe kule syria na israel sijaona majibu yoyote ya maana kutoka iran dhidi ya israel zaidi ya tuku tuku 300Umejaa ujinga na ushabiki. Hatutaki maneno wala blah blah Iran amesema Israel akilipa kisasi basi watarudishiwa dozi kamili ndani ya sekunde chache.
Sasa kazi imebkai kwa Mazayuni ili waone moto halisi wa Iran maana Iran akiahidi lazima atekeleze.
Mateka ambao ni marehemu ulisikia statement ya mwisho kutoka kwa hamas sikukuu ya eid?Mbona wameshindwa kuwakomboa mateka wao kutoka Hamas ,wameshindwa kujua walipo ,,