Hofu yazidi kutanda, Iran yaanza kutorosha wakuu wake kutoka Syria

Kwhyo hamna aliye hai🤠🤠...Kila siku wanavyosema tutawarudisha mateka Nyumbani wanatudanganya sio
Mateka ambao ni marehemu ulisikia statement ya mwisho kutoka kwa hamas sikukuu ya eid?
hyo
 
Kama wanafadhili ugaidi lazima watashughulikiwa tu. MOSSAD wapo kazini
 
Kwhyo hamna aliye hai🤠🤠...Kila siku wanavyosema tutawarudisha mateka Nyumbani wanatudanganya sio

hyo
Kabla ya sikukuu ya eid netanyanhu aliomba mateka wa kislamu wote waachiwe na hamas
Mpaka sasa hakuna majibu kutoka kwa hamas it means mateka wote ni marehemu
 
Unaomba huku unaendelea kuua civilians🤠🤠...wanafanya watu wte malofa sio....ameambiwa aende kwny meza ya mazungumzo kama ana Nia kwli...Kila siku anaweka vikwazo...kinachomshinda kuheshimu mipaka ile ilowekwa 60s tena na UN ni nn kama sio ukorofi...yy anataka mateka waachiwe...vp kuhusu maelfu ya wapalestina ambao wameshika kwny magereza pasi na sababu zzte...akitaka ya kwake yatimizwe na yy atimize ya wenzake ambayo yapo kihalali kabisa

Unadhan hakuna mafungwa wa kipalestina walioachiwa?
Nyie endeleeni kukaa na hao mateka kipigo kiende kwa raia wa palestine maaan wote hawana utofauti na hamas

View: https://twitter.com/Osint613/status/1780871236966375532?t=UoGPslle2QG3BMwuniXXhw&s=19
 
Back
Top Bottom