arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,166
- 4,005
hyoMateka ambao ni marehemu ulisikia statement ya mwisho kutoka kwa hamas sikukuu ya eid?
Kabla ya sikukuu ya eid netanyanhu aliomba mateka wa kislamu wote waachiwe na hamasKwhyo hamna aliye hai🤠🤠...Kila siku wanavyosema tutawarudisha mateka Nyumbani wanatudanganya sio
hyo
Kabla ya sikukuu ya eid netanyanhu aliomba mateka wa kislamu wote waachiwe na hamas
Mpaka sasa hakuna majibu kutoka kwa hamas it means mateka wote ni marehemu
Unadhan hakuna mafungwa wa kipalestina walioachiwa?Unaomba huku unaendelea kuua civilians🤠🤠...wanafanya watu wte malofa sio....ameambiwa aende kwny meza ya mazungumzo kama ana Nia kwli...Kila siku anaweka vikwazo...kinachomshinda kuheshimu mipaka ile ilowekwa 60s tena na UN ni nn kama sio ukorofi...yy anataka mateka waachiwe...vp kuhusu maelfu ya wapalestina ambao wameshika kwny magereza pasi na sababu zzte...akitaka ya kwake yatimizwe na yy atimize ya wenzake ambayo yapo kihalali kabisa