Hofu yenu kwa Umoja Party ni jibu tosha

Ccm wanadhani wasomi pekee ndio kila kitu, wanawatupa wananchi wa chini, wamesahau hata kaulimbiu ya chama chao kuwa ni ccm si chama cha matajiri

Ngoja waione nguvu ya walala hoi wapuuzi hawa!
Chama kama hakina sapoti ya matajiri kitakua kama TADEA tu au APPT maendeleo.
 
Ccm wanadhani wasomi pekee ndio kila kitu, wanawatupa wananchi wa chini, wamesahau hata kaulimbiu ya chama chao kuwa ni ccm si chama cha matajiri

Ngoja waione nguvu ya walala hoi wapuuzi hawa!

Watu wanaidharau chadema na kufikiri kupambana na CCM Ni jambo la siku moja, haya Bwana yetu macho. Maana ili mchukue dola lazima mpambane na CCM sio CHADEMA.
 
Ulizeni CCJ then CCK ilipoteaje ndio mtajua huo umoja wa wafu utapotea vipi
Narudia tena kuanzisha Chama cha upinzani nchi hii na kiwe na nguvu sio rahisi kama kumshika kalio dada poa
 
sasa hapo tatizo ni la waziri au wwnanchi?
 
wanaotapatapa ni akina nani?
mbona kama unajipiga finger na kunusa
 
Watu wanaidharau chadema na kufikiri kupambana na CCM Ni jambo la siku moja, haya Bwana yetu macho. Maana ili mchukue dola lazima mpambane na CCM sio CHADEMA.
Mkuu, hivi mnakumbuka chadema mliwahi kutuuzia mbuzi kwa gunia!?
Mnalituhadaa Lowasa fisadi mkamvuta tena kupitia mlango wa nyuma, kitendo hiko ndicho kiliniondoa chadema, na ukipima tu, nguvu ya chadema ilianza kupoa tokea hapo
 
Sio kweli. Be honesty ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…