Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fredie Mpendazoe. Ila ccj ya akina nape walimtosa huyu jamaa akajifia kisiasaKiongozi wa hii chama ni nani
Hata DRC kuna chama kilisimama na Lumumba in fact mgombea Urais alikua kijana wa Lumumba but walianguka mbali sana.
Mtu akishakufa ameenda zake huwezi ukatembelea kivuli chake kwamba na wwe utaweza fanya alichofanya!! Eti atokee mtu aseme anaendeleza Unyerere wakati huna charisma au character zake utaweza wapi??
Hao wameona fursa tu ya kupata funding na kuingia bungeni kwa mgongo wa kufufua sera za JPM but on the real sense Hilo haliwezekani Kila mtu ana leadership character zake binafsi ambazo ni unique kwa mwingine.
Sio nyumbu tuu ata lumumba wameanza kuanya wakina lord denning na wenzaoNyumbu watanyooka tu
Yaani opportunists kama tu mtu aseme anaanzisha chama Cha kupigania korosho kusini au Pamba Kanda ya ziwa obvious anatafuta funding kwa matajiri wa eneo Hilo na NGOs za Huko nje kwa kigezo Cha "kupigania" sera za hayo makundi.Sasa wewe kinachokuumiza nini mkuu ,,? alafu jiulize kwanini wameamua kutembelea upepo wa Hayati JPM ili kupata hizo funding na kuingia bungeni na si mwingine?
Hizo facts ulizipataje!!?? Au ndo muendelezo wa itahira...Mimi nakupa facts za uchaguzi wewe unaniambia Mambo kuingia mtaani kana kwamba Mimi naishi sayari ya Mars.
Kwanza pole sana, maana unatumika kumchafua hayati JPM na umekwama, maana wananchi Nwanatambua kazi aaliyofanya.Acheni kukuza mambo, hivi hiyo nguvu si ingedhihirika bungeni au ndani ya CCM? Mbona Kinana alishinda kwa 100% kama kweli wanaopenda JPM wapo wengi CCM!!
Then ukifuata upepo wa JPM what's next? Kwamba 2025 ndio JPM anakua mgombea Urais ama inakuaje? CCM imejaa wanafiki hakuna atakayehama eti akaanzishe chama kuipinga CCM ya Samia!!! Watalalamika ila ikifia 2025 sio kabudi sio Mpina watakua front seat kumpigia kampeni Samia.
2015-20 ni Nyalandu tu ndio alikua na ujasiri wa kuhama wengine wote walibaki ndani hata kama hawakumkubali JPM. so punguzeni mihemko hakuna mzalendo CCM huko mwenye huo ujasiri wote ni wezi tu na wanajua siku wakihama madudu yote yanaanikwa
UP itakufa kifo cha mende kama Chama Cha Jamii!Kivipi? Fafanua.
Yaani opportunists kama tu mtu aseme anaanzisha chama Cha kupigania korosho kusini au Pamba Kanda ya ziwa obvious anatafuta funding kwa matajiri wa eneo Hilo na NGOs za Huko nje kwa kigezo Cha "kupigania" sera za hayo makundi.
Ila hiyo nguvu ya JPM haipo maana ingedhihirika kwenye kupitisha spika wa bunge, bunge la bajeti wangepigania initiative za JPM peke yake, ama wangemkataa kInana Ili Bashiru arudishwe n.k
Kote huko tuliona kimya na JPM kafariki mwaka Jana tu.... Ndio sembuse ifike 2025? CCM imejaa wanafiki tu hakuna mtu yupo tayari kurisk maslahi yake eti kumpigania mtu aliyepo kaburini!! Hizo ni ndoto tu ndio maana nikasema hao ni opportunists tu
Ufisadi unapingwa kwa vitendo sio maneno..... Mwenyekiti unakuta awe Deo Msukuma ama Mpina?? Hivi hao kweli ni wapinga ufisadi?? Lini bungeni wamewahi bana mafisadi wanaoibuliwa na CAG??Hoja hapa ni kuwa Umoja party itapata sapoti kubwa sababu tu itamuenzi hayati JPM kwa kupinga ufisadi
Ingekuwa ni rahisi hivyo NCCR na Chadema zingeshakamata hii nchi kitambo sana..
Kwani ACT si ilianzishwa kwa nyota ya kufuata azimio la Arusha kurejesha ujamaa wa Nyerere ila kwa kublend na Demokrasia!!! Si ukiona alivyo beba wajinga wengi.... Ila je kweli Zitto ni mjamaa?Kama kweli nguvu ya JPM haipo,kwanini watu waamue kumtumia yeye kuomba funding au kuingia bungeni?..kwanini wasitumie labda jina la Mkapa ,Nyerere au Maalim Seif?
Mnauhakika kuwa ni warundi?Hakuna mwenye hofu na umoja party ila tunashangaa muundo wake wahusika waliomo🤔
Hakuna kitu kama hicho, Tanzania vyama ni CCM na CHADEMA tu kusimamisha chama kata zote nchi nzima ni zaidi ya kutembelea jina la mtu.Mkuuu tulia hivyo hivyo,JPM katika kipindi chake alichokuwa madarakani amefanikiwa kupanda mbegu ya mageuzi katika siasa za nchi hii,kamwe hazitarudi kuwa kama mwanzo mtake mistake,
Hawa jamaa wa umoja party kama watakuwa wapo serious na si wachumia tumbo kama wengine,utashangaa kitakachotokea mkuu!!
Kwani ACT si ilianzishwa kwa nyota ya kufuata azimio la Arusha kurejesha ujamaa wa Nyerere ila kwa kublend na Demokrasia!!! Si ukiona alivyo beba wajinga wengi.... Ila je kweli Zitto ni mjamaa?
Hiyo ni opportunity tu wanatumia ili kuwapata waliokua wafuasi wake kama ambavyo zitto alitaka kupata wafuasi wa kihafidhina wa CCM ya kale.
Politics is a game of opportunity ila haimaanishi Kila opportunity Ina matter au Ina influence Bali unaweza itumia na ukaikuza kuliko uhalisia to your advantage.
Ila kama JPM ana hiyo nguvu mbona alipokua hai Lissu alimpeleka vile kwenye kampeni mpaka akazuiwa asifanye kampeni Mtwara na Lindi? Kama alikua hai na alikua challenged vile then 2025 sioni kama jina lake Lina turufu UNLESS angekua Rais mstaafu so angekuwa anaonekana hadharani kunawapa motisha watu kukipigia kura hiko chama.