Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #101
Punguza hofu, najua unaumia sababu unajaribu kumchafua hayati JPM lakini hawezi kuchafuka maana yupo ndani ya mioyo ya mama lishe, wakulima, na wamachinga.Ufisadi unapingwa kwa vitendo sio maneno..... Mwenyekiti unakuta awe Deo Msukuma ama Mpina?? Hivi hao kweli ni wapinga ufisadi?? Lini bungeni wamewahi bana mafisadi wanaoibuliwa na CAG??
Mnadhani waTanzania ni wajinga eeh? Kama 2020 JPM alikua hai na Lissu aliweza kwenda Geita na kujaza viwanja vya kampeni ndio unadhani hiyo 2025 kivuli Cha JPM kitatoboa???
Msikuze sana vitu, wapinga ufisadi hawawezi kutokea CCM hata siku moja labda filikunjombe kama angekua hai ila waliobali siku wakihama tu madudu Yao yataibuliwa rejea sumaye na member n.k
So hiko chama kitakufa hata kabla ya 2023 in fact ni kama CCK tu kilianzishwa kwa mihemko kikafia njiani
Habari kuwa nani atakuwa ni mwenyekiti sio ishu.
Ishu ni namna watavyotembea na falsafa ya kuwaletea wananchi maendeleo kwa kupinga ufisadi.
Unamtaja Marehemu Filinkunjombe sabau alikuwa rafiki yako?
Mbona husemi wazi namna hayati JPM alivobana mafisadi na kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi?