Hofu yenu kwa Umoja Party ni jibu tosha

Binafsi napenda hao Umoja Party wapewe usajili Ili wakaumbuke ulingoni,shida ccm wanaogopaga hata vivuli
 
Campaign manager mzuri wa JPM ni Mama Samia kutokana na Sarakasi zinazoendelea sasa watu wanaona maybe the past wasn't as bad...

Kama vile Uchafu wa Mrisho ulivyosababisha Benja aonekane msafi...
 
Ghafla baada ya Pasaka pameibuka tishio la kuzaliwa chama kipya cha siasa kitakachoitwa Umoja Party.

Inasemekana chama hiki kipya kitaanzia pale Magufuli alipoachia baada ya kutwaliwa na Mungu wa mbinguni

Niwatoe hofu Chadema kwamba wasiogope bali wajiandae kwa changamoto mpya!
 
K
Kule tunawaachia wenye chama chao ili wazidi kulamba asali na vizazi vyao halafu tuonane kwa debe.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Hivi nivichekeshi jamaan... Mm sio mwana CCM ila navokijua CCM hakuna mtu ambae anauwezo wakukivunja au mkubwa zaidi ya CCM Kama Chama... Wakina lowasa pamoja na ushawishi wao ambao sioni hata mwanasiasa wa Sasa ndani ya CCM kwa Sasa mwenye mabavu kama ya lowasa..... Jamn magufuli alishapumzika na kubalini tu siasa ni karata ambae hayupo nalake alipo.. CCM huwa wanakumbuka falsafa za walio husika kuki asisi tu Hawa wengine wote w atapita kama wengine wote wasasa na wajao...
 
Wewe na Pascal ni wachoyo sana
 
Lowassa hakuwa na nguvu ya umma shutup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…