kwakina itafakari
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 618
- 1,258
Al
Alikua na nguvu akakimbilia Ubalozi wa Ujerumani! Wenye nguvu ni kina Amolo walioilazimisha serikali ya Kenya ikafanya hand shake nao.
Kuna mtu ambaye hajui CDM na Lissu 2020 walisaidiwa na CCM anti Magufuli?!!
Kwa ubinafsi wa vyama vya kisiasa vilivyopo ni ngumu sana kupambana from within.Mwanasiasa anayedhani kuanzisha Chama kipya ndiyo solution ya matatizo waliyonayo Watanzania ni mjinga sisemi ni mpumbavu!
Watanzania wengi hawajitambui hivyo si lazima kuanzisha Chama kipya ndo uwaamushe!
Angalia press ya Waziri Bashe na wale wahindi wa Mbolea juzi ndo utajua ninachoongea!
Waziri Bashe anawabembeleza wale wezi warudishe elfu 30 walizowaibia wakulima kwa kila mfuko wa Mbolea badala ya kutaifisha Mbolea yao yote na kuwatupa lupango kama wahujumu uchumi wengine!
Fight from within is better kuliko kuanzisha tu vyama vya ajabu ajabu!
Kosa la 2015 halirekebishikiWatu wanaidharau chadema na kufikiri kupambana na CCM Ni jambo la siku moja, haya Bwana yetu macho. Maana ili mchukue dola lazima mpambane na CCM sio CHADEMA.
Ila naamini mnajua vizuri swala la timing, na hali ya hewa ya kisiasa, kama huu ni muda mzuri wa kuzungumza na wananchi kutokana na ccm kuharibu uchumi wa taifa , basi fanyeni hivyo sasa, jitokezeni na hamtatumia nguvu kubwa sana kuwaelimisha wananchi , kila mtu anona mtaani ; lakini mkisubiria zaidi hamjui nao wanatapatapa wajikwamue vipi hapo walipo, japo mnafanya mandalizi muhimu bado ila mjitahidi kuzingatia hilo,Nasubiri mwongozo mkuu, mbona kitaani huku ni ndelemoo!!!
Woyoo woyoo!!
Ukute ni Wilbrod Slaa na lengo kubwa nikupata Mpinzani wa Chadema. Na hapa lazima Covid- 19 karibia na 2025 wanajiungaKiongozi wa hii chama ni nani
Wewe kama umelewa bangi za Chato nenda kalale yatima wewe.Kwani yesu au muhamadi sio marehemu?vp bado unafuata waliyofundisha?
Wewe kama umelewa bangi za Chato nenda kalale yatima wewe.
Msingi wa Ukristo Yesu alisurubiwa, akafa, akazikwa siku ya tatu akafufuka katika wafu, akapaa mbinguni. Yesu yu hai.
Usimfananishe Yesu na hiyo takataka yenu ya Chato ipo kuzimu.
Haya ndiyo yalikuwa majambazi kipindi Cha jiwe!!
Huoni aibu jibwai weweKama huu. Kubalini matokeo mtu wenu yuko jehanam anavuna alichopanda.
Utawajua muda ukifika wala usihofuWanachama wa hicho chama ndio kina Musiba?
Acha kutumia madesa ya zamani ati sylabus imebadilika utafeli jombaDo you think sisiemu ni wajinga? Hiko chama kekufa kabla hakujaanzishwa.
Ndio maana kinatakiwa kianzishwe chama chenye falsafa za Magu ili vitendo kama hivyo viwe vinafanyikaMwanasiasa anayedhani kuanzisha Chama kipya ndiyo solution ya matatizo waliyonayo Watanzania ni mjinga sisemi ni mpumbavu!
Watanzania wengi hawajitambui hivyo si lazima kuanzisha Chama kipya ndo uwaamushe!
Angalia press ya Waziri Bashe na wale wahindi wa Mbolea juzi ndo utajua ninachoongea!
Waziri Bashe anawabembeleza wale wezi warudishe elfu 30 walizowaibia wakulima kwa kila mfuko wa Mbolea badala ya kutaifisha Mbolea yao yote na kuwatupa lupango kama wahujumu uchumi wengine!
Fight from within is better kuliko kuanzisha tu vyama vya ajabu ajabu!
Vyote vyote utakavyotafsiri ni sawa tu kwa mawazo yakoKwaio viongozi na wanachama watakua walalahoi? Je ni sifa kuita au kuitwa mlalahoi?
Mi nazungumzia makamanda uchwara wewe unaanza eti oh walalahoi sijui nini; upuuzi mtupu kwenda zako huko.We mgonjwa na wewe utakua mwanachama wa chama cha walalahoi?
Hakuna cha misukule wala nini.Misukule ya magufuli kubalini matokeo tu Msoga Gang imewatia la kati.
Pia Mwalimu alisema...Kiuhalisia ni kwamba Baba wa Taifa alikua ni mtabiri wa mambo. Aliwahi kusema CCM itadondoshwa na wanaotoka ndani ya chama. Hiki chama kinalitimiza hili.
No wonder baba yako alitaka kukuua...Lile libaba lilifanikiwa kutengeneza ukabila ila hao sukumagang hawatafika kokote kwa sababu ya umbumbu wao wa kutegemea waganga