Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Hii miwatu ni mibinafsi mno!Haijali haya yote kisa ukabila.Mauaji kwahiyo yaendelee , watu wapotee, watekwe, wabambikiwe kesi za uonevu, and many other atrocities
Huyaoni kwa vile ni msukuma (after all Jiwe siyo msukuma . Kukulia usukumani hakumpi usukuma)
It seems haya majitu yote ni makatiliHii miwatu ni mibinafsi mno!Haijali haya yote kisa ukabila.
Hii miwatu ni mibinafsi mno!Haijali haya yote kisa ukabila.
Asante Mzee Mwenzangu, Mkuu Mzee Mwanakijiji
P
Asee Watu wanaomkubali JPM ambao hawana kelele ni wengi sana, Wakina MAMA ndio usiseme Ni JPM 2020.Nyie wewesekeni tu. Jpm kesho out! Watu hawamtaki ndo Mana lisu anafanyiwa kila aina ya figisu ikiwemo hata kutopewa airtime ya radio ya tv zote lakini bado watu wanamtafuta na kumfata Kama nyuki.
Mwingira aliwaambia kwamba you cannot fight a Victor who has survived 32 bullets!!