Lisu amstue Fatou, bila hvyo sidhani kama kitatendeka kituKwa waliyofanya Zanzibar jana usiku. Magufuli, Mabeyo, Sirro na Diwani wajiandae tu na kuaga familia zao kabisa. Lazima ICC iwahusu mwaka huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu amstue Fatou, bila hvyo sidhani kama kitatendeka kituKwa waliyofanya Zanzibar jana usiku. Magufuli, Mabeyo, Sirro na Diwani wajiandae tu na kuaga familia zao kabisa. Lazima ICC iwahusu mwaka huu
Kama umeshiriki chaguzi zote zilizopita utaelewa nilichosema. Lissu ameleta changamoto ambacho ni kitu kizuri, imagine asingegombea yeye?UNAFIKI.
Nchi sio chama bali katiba bora na katiba hii mfu ya Nyerere,Kama umeshiriki chaguzi zote zilizopita utaelewa nilichosema. Lissu ameleta changamoto ambacho ni kitu kizuri, imagine asingegombea yeye?
Uimara wa upinzani unahitaji mjadala mpana kama kweli tunataka kuona chama mbadala kikitwaa madaraka.
Two options chattotown au the HagueMagufuli ushindi ni 98%
Asante sana Mzee Mwenzangu, Mkuu Mzee Mwanakijiji, umeusema ukweli fulani mkubwa sana kumhusu Lissu, na kwa ruhusa yako, naomba kukata vipande vidogo vidogo vya hoja zako, nivitumie kama darasa, kuwaelimisha vijana humu jf.
Kwa kuanzia naanzia na ukweli huu kumhusu Tundu Lissu
P
Naamini kuwa Rais Magufuli anastahili kupewa nafasi nyingine ya kuliongoza Taifa letu kwa miaka mingine mitano. Hoja zinazotolewa bado hazijatosha kuwafanya Watanzania wengi kutokumuunga mkono. Ushindi wake utakaribia asilimia 80...
Lissu atapigiwa kura na watu wengi vilevile lakini ana kazi kubwa zaidi ya kuuelekeza upinzani kuelekea 2025. Hadi hivi sasa hajajaribiwa kama kiongozi mkuu wa upinzani, anaenda kujaribiwa sasa
Uzi kichefuchefu

Two options chattotown au the Hague
Kutii sheria ni kwa pande zote na sio upande mmoja tuTii sheria bila shuruti la sivyo utanyea ndoo
Naamini kuwa Rais Magufuli anastahili kupewa nafasi nyingine ya kuliongoza Taifa letu kwa miaka mingine mitano. Hoja zinazotolewa bado hazijatosha kuwafanya Watanzania wengi kutokumuunga mkono. Ushindi wake utakaribia asilimia 80...
Lissu atapigiwa kura na watu wengi vilevile lakini ana kazi kubwa zaidi ya kuuelekeza upinzani kuelekea 2025. Hadi hivi sasa hajajaribiwa kama kiongozi mkuu wa upinzani, anaenda kujaribiwa sasa
Kutii sheria ni kwa pande zote na sio upande mmoja tu