We mzee umepigwa spana hadi umeamua kunyoosha mikono juu kudadek, umejiunga nao bila kupenda ilimradi mkono uende kinywani!.Asante Mzee Mwenzangu, Mkuu Mzee Mwanakijiji
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mzee umepigwa spana hadi umeamua kunyoosha mikono juu kudadek, umejiunga nao bila kupenda ilimradi mkono uende kinywani!.Asante Mzee Mwenzangu, Mkuu Mzee Mwanakijiji
P
Wanaccm wengi wenye akili timamu watampigia kura Lissu.More than 80%? You must be joking..
Analysis ya mahaba..
15Min mgombea wa CCM, 2Min Lissu
go figure
Wahutu hao
Ni majitu ya hovyo kabisa!It seems haya majitu yote ni makatili
Kichaa mmoja alisikika akisema "Nikijitekenya hivi naona raaaaha!"Magufuli atashinda kwa asilimia kuanzia 83, kwa ufupi uchaguzi huu umekuwa mwepesi kwa CCM kuliko chaguzi zote. Nashangaa nguvu nyingi wanazotumia CCM uchaguzi huu wakati ushindi kwao ni wazi (ukitoa Zanzibar).
Nasikitika tu kwa uelekeo wa wabunge wengi wa upinzani kutorudi bungeni. Tunaenda kuwa na bunge litalotawaliwa na CCM kama miaka kabla ya 2010.
UNAFIKI.Magufuli atashinda kwa asilimia kuanzia 83, kwa ufupi uchaguzi huu umekuwa mwepesi kwa CCM kuliko chaguzi zote. Nashangaa nguvu nyingi wanazotumia CCM uchaguzi huu wakati ushindi kwao ni wazi (ukitoa Zanzibar).
Nasikitika tu kwa uelekeo wa wabunge wengi wa upinzani kutorudi bungeni. Tunaenda kuwa na bunge litalotawaliwa na CCM kama miaka kabla ya 2010.
Hakuna msukuma mwenye tabia za ibilisiMauaji kwahiyo yaendelee , watu wapotee, watekwe, wabambikiwe kesi za uonevu, and many other atrocities. Huyaoni kwa vile ni msukuma (after all Jiwe siyo msukuma . Kukulia usukumani hakumpi usukuma)
Asante sana Mzee Mwenzangu, Mkuu Mzee Mwanakijiji, umeusema ukweli fulani mkubwa sana kumhusu Lissu, na kwa ruhusa yako, naomba kukata vipande vidogo vidogo vya hoja zako, nivitumie kama darasa, kuwaelimisha vijana humu jf.
Kwa kuanzia naanzia na ukweli huu kumhusu Tundu Lissu
P
Naamini kuwa Rais Magufuli anastahili kupewa nafasi nyingine ya kuliongoza Taifa letu kwa miaka mingine mitano. Hoja zinazotolewa bado hazijatosha kuwafanya Watanzania wengi kutokumuunga mkono. Ushindi wake utakaribia asilimia 80...
Lissu atapigiwa kura na watu wengi vilevile lakini ana kazi kubwa zaidi ya kuuelekeza upinzani kuelekea 2025. Hadi hivi sasa hajajaribiwa kama kiongozi mkuu wa upinzani, anaenda kujaribiwa sasa
Nchi ina wanafiki wengi sana ndio maana haitakaa iondokane na umaskini.leo nimeamini kweli dini ina nguvu sana kwenye maamuzi ya binadam, sikuwahi kujua mtu unaweza kuwa mnafiki kiasi hiki. Yani kama Magufuli anastahili mitano tena basi Kikwete alikuwa anastahili 20 ila ulimtukana kwa kila tusi, kila sifa mbaya ulimpa yeye kumbe kisa ilikuwa dini yake na wala si utendaji wake maana kwa mwenye common sense tu anajua Kikwete was better than the incumbent. Anyway wachatuendelee kuwa maskini, washa tuendelee kuwa na haki kwa wachache kwasababu watu mnaoweza kuchambua mnalalia dini zenu na watu wenu kuliko uhalisia wa taifa na watu wake.
Nitafunga ili neno lako litimie. Yapelekwe ICC yafungwe maishaMark my words.
Kwa waliyofanya Zanzibar jana usiku. Magufuli, Mabeyo, Sirro na Diwani wajiandae tu na kuaga familia zao kabisa. Lazima ICC iwahusu mwaka huuNitafunga ili neno lako litimie. Yapelekwe ICC yafungwe maisha