Uchaguzi 2020 Hoja binafsi: Dkt. Magufuli anastahili kupewa miaka mingine 5

Kwa kipi alichokifanya kinachompa sababu ya kustahili kupewa miaka 5 mingine?

Mataga mtakuja kutaja madaraja, sijui ndege, sijui bwawa la maji, miaka 60 ya uhuru bado tunampongeza kiongozi kwa kujenga madaraja?
 
Kichaa mmoja alisikika akisema "Nikijitekenya hivi naona raaaaha!"
 
UNAFIKI.
 
leo nimeamini kweli dini ina nguvu sana kwenye maamuzi ya binadam, sikuwahi kujua mtu unaweza kuwa mnafiki kiasi hiki. Yani kama Magufuli anastahili mitano tena basi Kikwete alikuwa anastahili 20 ila ulimtukana kwa kila tusi, kila sifa mbaya ulimpa yeye kumbe kisa ilikuwa dini yake na wala si utendaji wake maana kwa mwenye common sense tu anajua Kikwete was better than the incumbent. Anyway wachatuendelee kuwa maskini, washa tuendelee kuwa na haki kwa wachache kwasababu watu mnaoweza kuchambua mnalalia dini zenu na watu wenu kuliko uhalisia wa taifa na watu wake.
 
Uzuri ni kwamba hata wewe internet ikizimwa hautakuwa na uwezo wa kutuandikia huu ushenzi.

Unampigia kampeni ibilisi??
 
Acha nikwambie, Magufuli wako hashindi uchaguzi wa mwaka huu, na aliyoyafanya kupitia vikosi vyake huko Zanzibar usiku wa kuamkia leo mwambie ajiandae kwenda ICC.

Nakuhakikishia muda si mrefu ICC wanatoa hati za kukamatwa kwa Magufuli, Mabeyo, Diwani na Sirro. Mark my words.

Haya ni pembeni na vikwazo vinavyoenda kutolewa na USA na EU.

Si mnadhani udhalimu unalipa eeh??? Sasa jiandaeni kujua kuwa hamjui
 
Mauaji kwahiyo yaendelee , watu wapotee, watekwe, wabambikiwe kesi za uonevu, and many other atrocities. Huyaoni kwa vile ni msukuma (after all Jiwe siyo msukuma . Kukulia usukumani hakumpi usukuma)
Hakuna msukuma mwenye tabia za ibilisi
 
Tume ingekuwa huru na haki. Huyo Magufuli angeshakuwa chato.
 
Njaa ni mbaya sana, huyu mtu akipewa kinyesi atakula
 
Rais mbaguzi, anayeonesha chuki za wazi kwa baadhi ya raia anastahili vipi kuendelea kuongoza? Rais anayetamka maneno ya kibaguzi hadharani hafai kuwa kiongozi.
 
Nchi ina wanafiki wengi sana ndio maana haitakaa iondokane na umaskini.
Mijitu mingi inajifanya hamnazo tu ili lipate uteuzi lipate kujaza tumbo
 
..haya maccm yanatabiri ushindi wa 80% maana ndivyo wamepanga kuiba na kujitangazia....wamesahau hata kule belarussia lukashenko alijitangazia ushindi huo huo wa 80% baada ya kuiba kura....lakini hadi leo wananchi wake wamemkataa na wanashinda barabarani hadi aondoke...naona hii ya kuiba kura na kujitangazia ushindi mkubwa ndio fashion mpya ya midikteta kukatalia madarakani..wanafikiri watu watahadaika kwa gap hiyo kubwa ya wizi wa kura....
 
Nitafunga ili neno lako litimie. Yapelekwe ICC yafungwe maisha
Kwa waliyofanya Zanzibar jana usiku. Magufuli, Mabeyo, Sirro na Diwani wajiandae tu na kuaga familia zao kabisa. Lazima ICC iwahusu mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…