Uchaguzi 2020 Hoja binafsi: Dkt. Magufuli anastahili kupewa miaka mingine 5

Kwa waliyofanya Zanzibar jana usiku. Magufuli, Mabeyo, Sirro na Diwani wajiandae tu na kuaga familia zao kabisa. Lazima ICC iwahusu mwaka huu
Lisu amstue Fatou, bila hvyo sidhani kama kitatendeka kitu
 
Kama umeshiriki chaguzi zote zilizopita utaelewa nilichosema. Lissu ameleta changamoto ambacho ni kitu kizuri, imagine asingegombea yeye?

Uimara wa upinzani unahitaji mjadala mpana kama kweli tunataka kuona chama mbadala kikitwaa madaraka.
 
Magufuli hakustahili hata kuwa waziri achia mbali Urais.

Kutetea mtu anayebagua wengine kwa itikadi za vyama na kuwanyima maendeleo. Hana utu kabisa. Mtu anayetumia nguvu za dola kuumiza wengine wanaofikiri tofauti.

Shame! Si tu hastahili mitano tena, hakustahili hata mitano kwanza.
 
Nothing last longer, ccm imeoverstay mda wa kukaa madarakani. Utawala wowote huwa hauzidi miaka 40.Ccm ilikufa 2015 thus ilibebwa na dola dalili ya chama mfu Ni kubebwa na dola badala ya hoja
 
Kama umeshiriki chaguzi zote zilizopita utaelewa nilichosema. Lissu ameleta changamoto ambacho ni kitu kizuri, imagine asingegombea yeye?

Uimara wa upinzani unahitaji mjadala mpana kama kweli tunataka kuona chama mbadala kikitwaa madaraka.
Nchi sio chama bali katiba bora na katiba hii mfu ya Nyerere,
Chama chochote chaweza kuongoza nchi endapo tu kitaaminiwa na wananchi.
 
Mzee umeamua kujisalimisha, umedukuliwa au umetekwa?
 
Hakuna nchi iliyowahi kufa duniani kwa kubadili chama, na kubadili chama sio dhambi, miaka 60 ccm imeshindwa.
Kama imeshindwa tu kuwaongozea mishahara watumishi laki tano ndo itaweza leta maendeleo?
 
Ameshindwa 5 yrs kwa dogo tu la kuongeza mishahara ndo ataweza makubwa another 5 yrs.
Miaka 5 ni ya hasara tumepoteza, ni heri tuanze upya kesho
 
Tuondoleeni UTUMBO wenu hapa

Ni vile NJAA zinawasumbua tu na mmekosa UTU basi
 
Nimekosea tusi la kukufaa, nisemu tu ulaaniwe na kulaanika, basi
 
Uzi kichefuchefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No another 5yrs again of
.mateso
.kusoma namba
. mauaji
. utekaji
.ubambikaji
. ufisadi
. ukosefu wa ajira
.njaa
. uzulumati
.udini
. ukabila
.ukanda
 
Mateso manyanyaso wafanyabiashara wakubwa wadogo kubambikiwa kodi kubwa TRA kupewa kesi za uhujumu uchumi, BOT kuwapora wafanyabiashara wakubwa wawekezaji na watu wa kawaida pesa zao zinazotumwa tokea nje na wakipiga kelele wanaoishi kubambikiwa kesi za utakatishaji fedha, unataka viendelee kwa miaka mingine mitano tena? au unataka nini maana haya ni mojawapo ya manyanyaso yaliyopelekea kuitaka CCM itoke ikulu Nchi ipate uhuru haki ipate kutamalaki
 
Ccm mpya ni certified gang criminal utekaji, ufisadi, ubambikaji, uzulumati, udhalimu, udikteta, usadukayo, ni pango la wezi na wanyangaji wanatumia uchaguzi Kama sehemu ya kutakasishia Kodi zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…