Hoja binafsi: Vyama vya siasa viwe makini sana kwenye uteuzi wa wagombea wenza katika chaguzi zijazo ama sivyo Katiba imulikwe

Mkuu kwenye hili nimecheka sana. Hivi tulipoungana haikujulikana ukubwa wa eneo la Zanzibar? Au ndiyo ile dhana ya kuitawala ili isifurukute? au ndio mbadala wa kutupwa kwenye bahari ya Hindi? Waswahili husema ukipenda boga, penda na mti wake. Hata hivyo mama yupo, ni Raisi kikatiba na ataendelea kuwepo mpaka muda wa kuondoka utakapofika.
Mama yupo na mimi nataka awavuruge mpaka wavurugike! Namtakia kila la kheri katika hilo.
 
Wazeee naona this round mnawashwa washwa sana tatizo liko waapi!!?

Na laazma mnyooke😀😀😀😀😀

Kuchekana ni kwa zamu wazee😀😀
🤣Mkuu tunacheka wote na itafika wakati wa kulia wote pia, haya mambo tunayachukulia mzaha mzaha ila tutajua hatujui hapo baadae.

Muda ni mwalimu mzuri sana tulia hivo hivo 🤣 utatuelewa tu baadae mkuu tutazungumza lugha moja tu mbona.
 
Hata sisi CCM 2015 tuliweka mgombea urais mwizi, mwenye ugonjwa wa moyo na UKIMWI.
Nilitaka nikwambie kwamba wewe uliye mzima wa afya hautamaliza mwaka huu lakini nimemwomba mwenyezi Mungu akusamehe tu bure maana haujui ulisemalo!
 
Hasara na midege mibovu, unaongea kwa hasira sana mkuu. Unaonaje tukimshauri mama hii midege iuzwe yote kisha na shirika lifutwe watanzania tuachane kabisa na mambo ya usafiri wa anga tuachie tu wenzetu wanao nunua midege mizima na wasio pata hasara wao ni mwendo wa faida tu.

Hi biashara imetushinda au sivyo mkuu?
Yaani kwenu wewe ndiye mwenye busara unayetegemewa loooo salaleee!
 
🤣Mkuu tunacheka wote na itafika wakati wa kulia wote pia, haya mambo tunayachukulia mzaha mzaha ila tutajua hatujui hapo baadae.

Muda ni mwalimu mzuri sana tulia hivo hivo 🤣 utatuelewa tu baadae mkuu tutazungumza lugha moja tu mbona.

😀😀😀😀😀😀😀

Aaaa vyovyote vile bwana hakuna mtu mwenye hatimilki duniani.

Hata ikija kutokea lkn kwa muda wetu tutakua tumeEnjoy Enough.

😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
 
Uchaguzi mpya ni gharama sana, unachukua muda, na nchi haiwezi kukaa bila rais.

Utaratibu wa makamu wa rais kuchukua urais upo sehemu nyingi, unaondoa gharama za uchaguzi, na unaondoa nchi kusubiri uchaguzi kupata rais mpya.

Huo utaratibu wa kufanya uchaguzi unaweza kuleta mpasuko mkubwa sana na hata vita.

Kwani huyo anayeenda kuchaguliwa tena hawezi kufanywa mgombea mwenza akifa rais yeye akawa rais automatically kama VP?
Sijasema kuwa uchaguzi urudiwe, lakini katiba ya zamani ilikuwa inasema hivyo. Ninachosema ni kutaka katiba iweke limit kwenye powers za rais wa kurithi ili kuondoa uwezekano wa makamu wa rais asiye muamnifu kutamani madaraka akacollude kumuua rais aliyechaguliwa. Sankara aliuwawa na rafiki yake wa karibu sana aliyekuwa na tamaa madaraka.
 
Hili balaa limetokea mwaka huu tu, mgombea mwenza aliekuwa dhaifu ndio kadondokewa na bahati kubwa kuliko zote.
Wanaccm muacheni Mama afanye kazi...Katiba Mpya mlikataa
 
Sijasema kuwa uchaguzi urudiwe, lakini katiba ya zamani ilikuwa inasema hivyo. Ninachosema ni kutaka katiba iweke limit kwenye powers za rais wa kurithi ili kuondoa uwezekano wa makamu wa rais asiye muamnifu kutamani madaraka akacollude kumuua rais aliyechaguliwa. Sankara aliuwawa na rafiki yake wa karibu sana aliyekuwa na tamaa madaraka.
Unapomchagua rais umemuamini.

Na rais anapokubali kuwa na mgombea mwenza, naye kamuamini.

Unapopiga kura kumchagua rais unamchagua mgombea mwenza pia.

Ukiona huyu mgombea mwenza humuamini anaweza kumuua rais, usimchague. Usiichague hiyo ticket.

Vinginevyo, rais ni mtu anaweza kuuawa yeye pamoja na huyo Makamu wa Rais kwa njama za Spika wa Bunge. Spika wa Bunge awe Rais.

Sasa hapo napo utasemaje?

Nguvu za rais zinatakiwa kuwa zile zile tu. As long as mtu ni rais.

Otherwise utawapunja watu nafasi ya kuwa na rais kwa kumpa mtu cheo cha ukaimu rais, nchi ikakosa rais kamili.

Rais anaenda kuwakilisha nchi nje, marais wenzake anamwambia wewe kaa nyuma ya mstari, kwanza wewe ni kaimu rais tu, si rais kamili. Ngojea marais kamili tumalize kusema kwanza.
 
Ni kweli; hata mimi nimeshaona tatizo la kikatiba hata. Ile katiba ya zamani ilikuwa inasema rais akifa, basi uchaguzi mwingine mdogo wa rais unafanyika kujaza nafasi yake kama ambavyo anapokufa mbunge nafasi yake inajazwa kwa uchaguzi mdogo wa bunge.

Mabadiliko ya kusema makamu wa rais anakuwa automatic rais na akishachukua madaraka anafanya lolote atakalo ikiwa ni pamoja na kupangua serikali aliyokuta linaweza kuwa na unintended consequences kwa mustkhabali wa nchi. Inabidi katiba ingaliwe upya namna ya kurithisha kiti cha uraisi aliyefariki na kuongeza checks and balances zaidi kwa mrithi wa kiti hicho. Njia rahisi sana ni ile ya kuundwa kwa kamati ya urais itakaokuwa inaongozwa na aliyekuwa Makamu wa rais kabla ya kifo cha rais; kamati hii uhai wake utakwisha baada ya uchaguzi mkuu unaofuata. Halafu rais aliyerithi asiwe na power zote za rais aliyechaguliwa; sehemu ya powers za rais aliyechaguliwa ziwe mikononi mwa kamati hii. Utaratibu huu utapunguiza kidogo tamaa ya madaraka kwa makamu wa rais.

Kusema tu kuwa waliaminiana wakati wa uchaguzi siyo hoja kabisa, binadamu huamini wenzao walio hai tu, baada ya vifo husahauliana kabisa. Kesi hii ya kifo cha Magufuli imeonyesha tafsiri hiyo kwa uwazi sana tena kwa muda mfupi sana. Ndani ya mwezi mmoja tu wa kifo chake, mkataba wa bandari ya Bagamoyo uliopingwa na magufuli unaaza kujadiliwa tena!
 
Kama huyo rais mpya kubadilisha vyovyote anavyotaka ni tatizo, akichaguliwa kwenye uchaguzi ndiyo hataweza kubadilisha anavyotaka?
 
Asubili achaguliwe kwanza, siyo kutumia shortcut!!!
 
Achaguliwe mara ngapi? Samia Suluhu Hassan alichaguliwa mwaka 2020 kuwa Makamu wa Rais na mtu atakayekuwa Rais ikiwa Rais atafariki.

Hili jambo lipo katika katiba, unasemaje hii ni shortcut?

Tuangalie facts zinazompa Rais Samia Suluhu Hassan uhalali wa kuwa rais kamili kwanza.

1.Rais Samia Suluhu Hassan aliteuliwa na CCM kuwa mgombea mwenza wa CCM mwaka 2015 na 2020.

2. Nafasi ya mgombea mwenza ni ya mtu anayeenda kuwa Makamu wa Rais.

3. Kikatiba, Makamu Rais wa Tanzania anachukua nafasi ya rais ikiwa rais amefariki.

4. Samia Suluhu Hassan pamoja na Magufuli walitangazwa kushinda uchaguzi wa 2020. Samia Suluhu Hassan akaapishwa kuwa Makamu wa Rais. Magufuli akaapishwa kuwa Rais.

5. Rais Magufuli alifariki. Kwa mujibu wa katiba, Makamu wake, Samia Suluhu Hassan akawa Rais. Rais kamili. Si rais nusu, si kaimu rais, si rais wa mpito.

Kama hupendi hivyo, shawishi mabadiliko unayoyataka yawe kwenye katiba mpya. Hii ya sasa inasema Makamu wa Rais anaenda kuwa Rais automatically.

Ukipinga urais wa Samia Suluhu Hassan, kimsingi umepinga urais wa Magufuli. Kwa sababu uchaguzi wa 2020 uliwatambulisha Magufuli na Samia Suluhu Hassan kama wagombea wa CCM. Haukumtambulisha Magufuli peke yake.

Habari za kufanya uchaguzi iki kupata rais mpya ni kituki, nchi haitakiwi kukaa muda mrefu bika kuwa na rais. Rais John Fitzgerald Kennedy wa Marekani alivyouawa mwaka 1963, makmu wake Lyndon Baines Johnson aliapishwa kwenye ndege ili nchi ipate rais mpya mara moja. Nchi kukaa siku moja tu bika rais ni tatizo kubwa.
 
Achaguliwe mara ngapi? Samia Suluhu Hassan alichaguliwa mwaka 2020 kuwa Makamu wa Rais na mtu atakayekuwa Rais ikiwa Rais atafariki.

Hili jambo lipo katika katiba, unasemaje hii ni shortcut?

Tuangalie facts zinazompa Rais Samia Suluhu Hassan uhalali wa kuwa rais kamili kwanza.

1.Rais Samia Suluhu Hassan aliteuliwa na CCM kuwa mgombea mwenza wa CCM mwaka 2020.

2. Nafasi ya mgombea mwenza ni ya mtu anayeenda kuwa Makamu wa Rais.

3. Kikatiba, Makamu Rais wa Tanzania anachukua nafasi ya rais ikiwa rais amefariki.

4. Samia Suluhu Hassan pamoja na Magufuli walitangazwa kushinda uchaguzi wa 2020. Samia Suluhu Hassan akaapishwa kuwa Makamu wa Rais. Magufuki akaapishwa kuwa Rais.

5. Rais Magufuki alifariki. Kwa mujibu wa katiba, Makamu wake, Samia Suluhu Hassana akawa Rais. Rais kamili. Si rais nusu, si kaimu rais, si rais wa mpito.

Kama hupendi hivyo, shawishi mabadiliko unayoyataka yawe kwenye katiba mpya. Hii ya sasa inasema Makamu wa Rais anaenda kuwa Rais automatically.

Ukipinga urais wa Samia Suluhu Hassan, kimsingi umepinga urais wa Magufuli. Kwa sababu uchaguzi wa 2020 uliwatambulisha Magufuli na Samia Suluhu Hassan kama wagombea wa CCM. Haukumtambulisha Magufuli peke yake.

Habari za kufanya uchaguzi iki kupata rais mpya ni kituki, nchi haitakiwi kukaa muda mrefu bika kuwa na rais. Rais John Fitzgerald Kennedy wa Marekani alivyouawa mwaka 1963, makmu wake Lyndon Baines Johnson aliapishwa kwenye ndege ili nchi ipate rais mpya mara moja. Nchi kukaa siku moja tu bika rais ni tatizo kubwa.

Makamu wa rais ni msaidizi na mwakilishi wa rais, siyo rais kamili!

Ukiangalia hiyo constitutional hicup kwa makini utajua kuwa kweli inahitaji kutatuliwa bila kujali kuwa inahusu Magufuli na Samia au inahusu Kichuguu na Kiranga! Iko open ended sana.
 
Makqmu wa Rais ni msaidizi wa Rais, lqkini Rais akifariki, Makamubwa Rais anajuwa Rais.

Hii si Tan,ania tu, ni kitu ambacho kipo nchi nyingi zwny3 mgombea mwenza anayekuwa Makamu wa Rais.

Na sababu nzima ya kumfanya mgombea nwenza kuwa Makamu wa Rais ni kukujulisha wewe mpiga jura kwamba hapa huchagui mtu mmoja tu.

Hapa unachagua wawili. Unamchagua rais na makamu wake. Na makamu wa rais wakqti wowote anaweza juwa rais.

Tatizo mliona makamu wa rais ni kama pambo tu, hawezi kuwa rais.

Sasa rais anefarik8, makamu wa rais amekuwq rais, jwa kufuata katiba, mnadqi uchaguzi mpya.

Hili wazo la uchaguzi mpya ni twrribke idea.

1. Ni gharama kubwa.

2. Linaifanya nchi iingie katika kipindi cha interregnum. Kipindi cha mpito ambacho rais mmoja kamaliza urais na anayefuata hajaanza. Hapa kuna uwezekano mkubwa wa mpasuko kwa kika siku ambayo nchi haina rais.

3. Uchaguzi hau guarantee lolote unalotaka lifanyike lifanyike.

Let's say tunakusikikiza, tunafanya uchaguzi, halafu Samia Suluhu Hassan anachaguliwa kuwa rais na kufanya hayahaya anayoyafanya sasa hivi, sasa hapo utakuwa umepata faida gani?

Utakuwa umepata ghafama za uchaguzi tu na mqtokeo yaleyale.

Bottom line.

Samia Suluhu Hassan ni rais kamili na halali aliyepo kikatiba.

Hakuna uchaguzi mwingine wa raus utakaofanyika mpaka 2025.
 
Back
Top Bottom