Makamu wa rais ni msaidizi na mwakilishi wa rais, siyo rais kamili!
Ukiangalia hiyo constitutional hicup kwa makini utajua kuwa kweli inahitaji kutatuliwa bila kujali kuwa inahusu Magufuli na Samia au inahusu Kichuguu na Kiranga! Iko open ended sana.
Makqmu wa Rais ni msaidizi wa Rais, lqkini Rais akifariki, Makamubwa Rais anajuwa Rais.
Hii si Tan,ania tu, ni kitu ambacho kipo nchi nyingi zwny3 mgombea mwenza anayekuwa Makamu wa Rais.
Na sababu nzima ya kumfanya mgombea nwenza kuwa Makamu wa Rais ni kukujulisha wewe mpiga jura kwamba hapa huchagui mtu mmoja tu.
Hapa unachagua wawili. Unamchagua rais na makamu wake. Na makamu wa rais wakqti wowote anaweza juwa rais.
Tatizo mliona makamu wa rais ni kama pambo tu, hawezi kuwa rais.
Sasa rais anefarik8, makamu wa rais amekuwq rais, jwa kufuata katiba, mnadqi uchaguzi mpya.
Hili wazo la uchaguzi mpya ni twrribke idea.
1. Ni gharama kubwa.
2. Linaifanya nchi iingie katika kipindi cha interregnum. Kipindi cha mpito ambacho rais mmoja kamaliza urais na anayefuata hajaanza. Hapa kuna uwezekano mkubwa wa mpasuko kwa kika siku ambayo nchi haina rais.
3. Uchaguzi hau guarantee lolote unalotaka lifanyike lifanyike.
Let's say tunakusikikiza, tunafanya uchaguzi, halafu Samia Suluhu Hassan anachaguliwa kuwa rais na kufanya hayahaya anayoyafanya sasa hivi, sasa hapo utakuwa umepata faida gani?
Utakuwa umepata ghafama za uchaguzi tu na mqtokeo yaleyale.
Bottom line.
Samia Suluhu Hassan ni rais kamili na halali aliyepo kikatiba.
Hakuna uchaguzi mwingine wa raus utakaofanyika mpaka 2025.