Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Halima James Mdee alitoa hoja nzito sana na yenye mashiko kuhusu wizara ya kilimo kugawa ardhi na gharama ya kusafisha ekari kwa ml 16 .
Halima Mdee alikuwa anapinga kwamba ghaRama za kusafisha shamba ekari Moja haiwezi kuwa ml 16..na kwamba hizo ekari zinazotarajiwa kugawiwa kwa vijana hazijapitia mchakato wa kisheria kwa kuhusisha wizara ya ardhi.
Na kwamba waziri wa kilimo hana mamlaka ya kugawa ardhi lakini pia ni matumizi mabaya ya fedha ilipaswa wizara ya ardhi ihusishwe! Pamoja na mambo mengine nimeshangazwa na majibu ya waziri Bashe. Anaacha kujibu hoja Bali analeta dharau kwenye hoja muhimu kama hiyo !! Waziri Bashe anaona ni yeye TU mwenye uwezo wa kufikiri.