Hoja nzito ya Halima James Mdee kuhusu kilimo, iliyojibiwa kipuuzi na waziri Bashe!!

Hoja nzito ya Halima James Mdee kuhusu kilimo, iliyojibiwa kipuuzi na waziri Bashe!!

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Halima James Mdee alitoa hoja nzito sana na yenye mashiko kuhusu wizara ya kilimo kugawa ardhi na gharama ya kusafisha ekari kwa ml 16 .

Halima Mdee alikuwa anapinga kwamba ghaRama za kusafisha shamba ekari Moja haiwezi kuwa ml 16..na kwamba hizo ekari zinazotarajiwa kugawiwa kwa vijana hazijapitia mchakato wa kisheria kwa kuhusisha wizara ya ardhi.

Na kwamba waziri wa kilimo hana mamlaka ya kugawa ardhi lakini pia ni matumizi mabaya ya fedha ilipaswa wizara ya ardhi ihusishwe! Pamoja na mambo mengine nimeshangazwa na majibu ya waziri Bashe. Anaacha kujibu hoja Bali analeta dharau kwenye hoja muhimu kama hiyo !! Waziri Bashe anaona ni yeye TU mwenye uwezo wa kufikiri.
 
Halima James mdee alitoa hoja nzito sana na yenye mashiko kuhusu wizara ya kilimo kugawa ardhi na ghalama ya kusafisha ekari kwa ml 16 ...
Bashe ni mwizi tu! Anawalimia vijana yeye anajenga vituo vya mafuta kwa pesa za wizi.
Anadhani anaweza kuinua kilimo kwa ubunifu binafsi. Vineno viingi vya english wakati ni grammatically dead!

Ameacha mpango wa wizara wa ASDP II, yeye ametunga ya kwake kichwani. Kwa udhaifu na ushirika wa wizi ulioko wizarani, wanamuunga mkono.

Tatizo kubwa ni rais kuamini kwamba kelele za bungeni na takwimu za mitandaoni zinaweza kuendeleza kilimo. Kwa nini hakuanzia kwenye Kilimo kwanza?
 
Somalia huwa wanalima nini ukiacha kusini mwa nchi hiyo kunako limwa na Wazigua wa Somalia.
Kufuga mbuzi na ngamia wana ujuzi sana.
 
Somalia huwa wanalima nini ukiacha kusini mwa nchi hiyo kunako limwa na Wazigua wa Somalia.
Kufuga mbuzi na ngamia wana ujuzi sana.
... Somalia moja ya nchi zinazoongoza exportation ya ndizi duniani.
 
Back
Top Bottom