Hoja ya kuongezewa muda wa Rais kubakia madarakani itaendelea kwa Rais Samia Suluhu Hassan?

UVCCM kumejaa wachumia tumbo wanaoongozwa na nguvu ya buku 7.

Mara hii tu wameswitch eti Samia kachaga twende Magufuli alituchelewesha sana.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Duuh,aliwachelewesha Tena??MATAGA kweli waganga Njaa...wanaswitch colour kama kinyonga vileee
 
MUNGU ACHENI AITWE MUNGU;
Watu wamejazana ujinga kwamba nchi hii haiwezi kwenda bila Magufuli. Leo ni siku ya 10 kwa (mujibu wa tangazo lao) tangu afariki lakini nchi ipo, inakwenda na waliokuwa wanapiga debe wapo. Watuonesha imesimama upande upi?
Ndugai
Keissy
Sanga
Bado mko hai, mlituaminisha hakuna kitakachofanyika bila Magu, mbona hamjajitoa uhai mumfuate?
 
Mzee alishachemka siku mingi
 
Kwa kweli katiba iheshimiwe, iboreshwe zaidi iendane na nyakati na mahitaji ya sasa na iheshimiwe na watu wote. Ikiwa kila kundi dogo la watu wenye takwa lao wanabadili katiba, matakwa ya wanadamu hayaishi tutabadili katiba kila siku.

Mkuu ni wewe hii ID? sijaiona kitambo humu, ulienda wapi ndugu.
 
Mama samia akienda vizuri hata miaka 20 sawa tu, kama ilivyo kwa Gadafi kuongoza miaka mingi mpaka mabeberu waliona wivu na kumfanyia hiyana.
 

Mkuu ni Mimi,

Maisha tuh,mambo yako poa lakin
 
Mkubwa ni mungu pekee,

Maisha na uhai ni tunu na siri kubwa Sana.

Let's celebrate this gift,tuache kujimwambafy...we only live once
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…