Hoja ya kuongezewa muda wa Rais kubakia madarakani itaendelea kwa Rais Samia Suluhu Hassan?

Nini maana ya kuweka katiba ya nchi, nini kazi ya katiba?
 
Hahahah! Lakini mkuu na wewe ulishaanza kumsifia mkulu!
 


Mwanampotevu umepotoka, yani sijui ndiyo umezeeka,
 
Samia now atake asitake ataongezewa mda..
Au nasema uongo ndugu zangu??
Mama lazima tumlazimishe angalau ikipungua miaka basi akae madarakani miaka 30 ata akikimbia tuta mrudisha apo kwenye kiti! Mama ni mama jamani ana maono kama malaika!
Jamani mama ni mzalendo kuliko wazalendo wote!
Mheshimiwa Rais na mama yetu U Rais ni wako milele wale walio anzisha tuungane kwenye hili msibadilishe frequency
 
Kweli utawala mpya mambo mapya. Hatimaye mkuu THE BIG SHOW umerudi jamvini.....

Natumaini utatuleta habari pia za korosho na undelezaji wa visima vya gas huko kusini
😂😂
 
Kwa mama hilo halipo
 
Upo sahihi kabisaaa...
Wiki mbili zilizopita nilienda msibani Mwanza nimeona jinsi gani hawa jamaa wa kanda hiyo wanavyopenda sifa za kijinga tena msiban
 
Swali lako si sahihi. Waliokuwa wakisema hivyo, walikuwa wakijikita kwenye utendaji wa JPM waliouona. Hivyo wanasema aongezewe muda ili aendeleze hayo waliyoyaona. (Itoshe kusema JPM mwenyewe alilipinga wazo hilo mara kadhaa). Si sahihi kwako kuuliza hivi sasa kama udadisi huo utaendelea kwa Rais Samia kwa kuwa watu hawajaona ufanisi wake.
 
Du Loooong time! Ulikuwa kwenye inner circle ya Magufuli nini baada ya kufariki unatoka hadharani. Kuhusu kuongezewa muda, ile ilikuwa ndiyo nia ya Magufuli and co. Zile kelele hazikuwa za bure. Mimi nimefikiria pengine ni Mungu ameamua kutuepusha na yajayo kwani Magufuli alishaweka mizizi kila kona na ingekuwa vigumu mno kumuondoa muda wake kama ungemalizika. Na hata kama angeona haya aondoke bado angeweka mtu wake ambaye angekuwa anampa amri. Kwa kifupi tulishaingia kwenye mtego mbaya sana.
 
UPUUZI MTUPU!
 
100% correct. 1. Kusifiwa 2. Umwamba wa kishamba 3. Ujuaji wa kishamba. 4. Hawajastaarabika 5. Mfume dume 6. Imani za ushirikina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…