Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

Kinachotuchanganya ni namna wanavyoifanya Congo. Linatupa wasiwasi sana
Congo haifanywi hivyo na hao unaowadhania....! Congo iko vile sababu wakubwa wa Dunia wameamua tu iwe hivyo, na hata wakiamua kuifanya tz wataifanya tu bila ya hao watutsi....! Mtu mweusi anapigana na adui asie sahihi, ngozi nyeusi inabaguana yenyewe baada ya kufitinishwa amkeni nyie maboya
 
Usilinganishe first world counties kama US uingereza zenye mifumo thabiti olio jengwa, Raisi yoyote hawezi kuifumua bila nguvu ya ummah, na nchi changa kama Tz , hapa mwendazake alibadili kila kitu ndani ya miaka mitano bila kulatazwa tuna shukuru tu Mungu.
 
Habari ya Ngara mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dotto
Bashiru
Nina mashaka nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda wote huo hao wateuaji walikuw hawajui?
 
Hawa watu wameanza kuingia tangu kipindi cha JK na sasa wanaitawala 50% ya Tanzania. Ni vigumu sana kuwaong'oa kwa kutumia TPDF tu. Inabidi tuombe msaada kutoka nje.
 
CDF achukue nchi, mengine tutajua baadaye!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 2014 nilikutana na konda stand anapiga debe,Mwanza

akaniambia kwao ni Rwanda ila Tz anaijua vizuri kazunguka sehemu nyingi na anapiga kiswahili vizuri tu,huezi fikiri kua ni mnyarwanda

Nikashangaa,kumbe Kuingia Tz ni rahisi hivi
Kuna m1 yuko Songea vijijini, ni mfanya biashara.
Palee mtaani kajenga na kaoa huku huku, ana familia pia.

Yaan huwezi amini km mnyarwanda,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…