Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

Geita na yule mzee wa bluecoast
 
Bashiru siyo Mnyarwanda yule?
Kuna watanzania ni raia wa US, Canada, UK na nchi nyingine, tukianza kutaja watu na asili zao ambao ni raia wa TZ itakuwa shida kubwa.

Sasa ongeza wengine kwenye list yako, Bashe ni msomali, .....
 
Mwinyi anapambania uchumi wa bluu.
 
Namfahamu jamaa mmoja tunakaa mtaa mmoja ni mnyaruanda kabisa hata muonekano wake ni kama kagame ila ni mfanyakazi wa serikali. Anajitambulisha kama nshomile
 
Mwenyekiti mstaafu wa ccm Rukwa ni MnyaRwanda na wako wengi sana Serikalini.

Sio Katavi tuu hata Rukwa wapo Kila sehemu kuanzia mwambao Hadi Mjini.

Mumeshachelewa sana na Wana documents na Wana pesa Sasa sijui mtawafanya nini Sasa.
 
Umemaliza hii nchi ina wapumbafu wengi sana
 
Mwenyekiti mstaafu wa ccm Rukwa ni MnyaRwanda na wako wengi sana Serikalini.

Sio Katavi tuu hata Rukwa wapo Kila sehemu kuanzia mwambao Hadi Mjini.

Mumeshachelewa sana na Wana documents na Wana pesa Sasa sijui mtawafanya nini Sasa.
Tunakujua na wewe pia.
 
Tumechelewa sanaa
 
mkuu teuzi bado zipo..keep it up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…