Hongera Diamond kwa kununua ndege na helicopter. Wasafi Airlines itazalisha ajira

Hongera Diamond kwa kununua ndege na helicopter. Wasafi Airlines itazalisha ajira

Mtu mwenye maisha magumu hajifichi kila mtu anatabia zake ukiwa masikini na una roho mbaya wala huwezi jificha.
Unasema kila mtu ana tabia zake halafu hapo hapo unadai unajua maisha ya wana JF wote....haya nenda ukampanguse makamasi bosi wako.
 
Natoa pongezi kwa msanii namba moja Africa kwa sasa Diamond Platnumz kwa kununua vyombo vya anga. Biashara yake mpya anayokuja nayo ya Wasafi airlines itafungua milango ya ajira nyingi sana Tanzania na duniani kwa ujumla.

Watu tutaacha kupanda emirates na klm tutaanza kupanda ndege za kijana wa Tandale. Nitoe wito kwa vijana majobless kuanza kuandaa CV badala ya kushinda mnatukana mafanikio ya tajiri huyu mwenye umri kama wenu.

Hii biashara itaenda kuajiri marubani, hostess mpaka mainjinia mlio na madegree. Ili ni somo kwa vijana tuendelee kupambana kuzifikia ndoto zetu na tuheshimu talent. Hakuna kinachoshindikana. Hasira za kuyakosea maisha kuzishushia kwa Diamond wala sio dawa ya kutusogeza kimaisha.

ASIJE AKATULETEA POPO ATUDANGANYE KUWA NI NDEGE
 
Sijui hata nacheka nini [emoji23][emoji23]
Ndege na Helicopter mbili my ribs
Utafanyaje sasa utaishia kujihurumia tu maisha yako maana zaidi ya roho mbaya na chuki hakuna unachomiliki kwenye hii dunia
Na Mungu alivyofundi kakupa sura mbaya unyooke vizuri mtoto wa kike 🤣🤣🤣
 
Juma lokole unahangaika sana kumpamba Mwanaume mwenzio ili mradi tu upate tonge...Lini unaleta tena thd ya kumponda Rayvanny ambaye ulikua unashinda na kulala humu kwa kumsifia?

Anyway habari za tajiri muulize masikini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utafanyaje sasa utaishia kujihurumia tu maisha yako maana zaidi ya roho mbaya na chuki hakuna unachomiliki kwenye hii dunia
Na Mungu alivyofundi kakupa sura mbaya unyooke vizuri mtoto wa kike [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndege na Helicopter mbili,
Mbavu zangu jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] punguza presha mwayaaa, utakufa na kihoro, hizo picha za ndege na helicopter ziko wapi???
Anatamani Mondi amjue walau apate hata ukaribu nae,
Ila sidhani hata huyo MwanaTandale anaijua JF [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hongera kwake, amefanya mapinduzi makubwa kwenye tasnia ya muziki na amewafanya wasanii wengi wajue muziki ni biashara kama biashara nyingine.

Tasnia inamengi ya kujifunza kutoka kwake,.

Wapo wanaosema ndege si yake, ni sawa, hata kuikuza brand kufikia level za kutumika kwenye deals kubwa kama hizi si mchezo. Sio kitu ambacho kila msanii ameweza kukifanya
 
Natoa pongezi kwa msanii namba moja Africa kwa sasa Diamond Platnumz kwa kununua vyombo vya anga. Biashara yake mpya anayokuja nayo ya Wasafi airlines itafungua milango ya ajira nyingi sana Tanzania na duniani kwa ujumla.

Watu tutaacha kupanda emirates na klm tutaanza kupanda ndege za kijana wa Tandale. Nitoe wito kwa vijana majobless kuanza kuandaa CV badala ya kushinda mnatukana mafanikio ya tajiri huyu mwenye umri kama wenu.

Hii biashara itaenda kuajiri marubani, hostess mpaka mainjinia mlio na madegree. Ili ni somo kwa vijana tuendelee kupambana kuzifikia ndoto zetu na tuheshimu talent. Hakuna kinachoshindikana. Hasira za kuyakosea maisha kuzishushia kwa Diamond wala sio dawa ya kutusogeza kimaisha.

Peleka huko bang zako,kwa ndege moja na helicopter moja uanzishe kampini ya usafirisha kiasi tuache kupanda emirate yenye ndenge kubwa tuje tupande ndege ya abiria 12?,mmeifanya jf kua facebook?
 
😂😂😂😂😂😂💃💃💃hater napita tu
 
Back
Top Bottom