Hongera Diamond kwa kununua ndege na helicopter. Wasafi Airlines itazalisha ajira

Hongera Diamond kwa kununua ndege na helicopter. Wasafi Airlines itazalisha ajira

Kama kayafanya haya pongezi kwake kampe
 
IMG-20220301-WA0003.jpg
Air WASAFI kutoka tandale. Kwa wale waliokua wanaulizia picha🤣🤣🤣
 
Nahisi Kadri ya siku zinavyokwenda ajira itakayokuwa kwenye soko huria kwa wasomi ni uchawa
 
Sema nn sitak kuamini wee ni shabiki tu na huna maslahi na WCB, kama ni hivo aisee WCB wana followers loyal kuliko beyhives na barbz
 
Natoa pongezi kwa msanii namba moja Africa kwa sasa Diamond Platnumz kwa kununua vyombo vya anga. Biashara yake mpya anayokuja nayo ya Wasafi airlines itafungua milango ya ajira nyingi sana Tanzania na duniani kwa ujumla.

Watu tutaacha kupanda emirates na klm tutaanza kupanda ndege za kijana wa Tandale. Nitoe wito kwa vijana majobless kuanza kuandaa CV badala ya kushinda mnatukana mafanikio ya tajiri huyu mwenye umri kama wenu.

Hii biashara itaenda kuajiri marubani, hostess mpaka mainjinia mlio na madegree. Ili ni somo kwa vijana tuendelee kupambana kuzifikia ndoto zetu na tuheshimu talent. Hakuna kinachoshindikana. Hasira za kuyakosea maisha kuzishushia kwa Diamond wala sio dawa ya kutusogeza kimaisha.

Airline ya ndege 1?
 
Sasa ndege moja ndio itaanzisha Airlines😂😂😂 hebu acheni upuuzi jamani. Hio ndege yeye auzie sura tu basi inatosha
Uzuri Diamond anajua kupigania ndoto zake. Kama Rollys Royce hater walikuwa wanasema hawezi, hatimae kapambana hadi katimiza ndoto, kaota ndegr kaipata.. Jamaa anaweza pigania ndoto
 
Uzuri Diamond anajua kupigania ndoto zake. Kama Rollys Royce hater walikuwa wanasema hawezi, hatimae kapambana hadi katimiza ndoto, kaota ndegr kaipata.. Jamaa anaweza pigania ndoto
Ni kweli kuipigania ndoto inawezekana ukiwa na vyanzo mkuu.
 
Huyu ni kijana wa kuigwa,sio kwa hustle hizo aisee,kila siku anafikiria jinsi ya kuongeza ukwasi wake tu,Allah ambariki sana
Diamond kawa chachu kwa wente ndoto, kaota ndoto nyingi kazipigani na kazitumiza. Mond hata akifa leo katendea kazi ndoto zake, anayo yafanya wengi hadi wanakufa wanaishia kuota
 
Vijembe virefu vya nini!?

Back
Top Bottom