Hongera Diamond kwa kununua ndege na helicopter. Wasafi Airlines itazalisha ajira

Kama kayafanya haya pongezi kwake kampe
 
Air WASAFI kutoka tandale. Kwa wale waliokua wanaulizia picha🤣🤣🤣
 
Nahisi Kadri ya siku zinavyokwenda ajira itakayokuwa kwenye soko huria kwa wasomi ni uchawa
 
Sema nn sitak kuamini wee ni shabiki tu na huna maslahi na WCB, kama ni hivo aisee WCB wana followers loyal kuliko beyhives na barbz
 
Kuna majobless watakuja humu na kusema Diamond kajinunulia jeneza lake mwenyewe
 
Airline ya ndege 1?
 
Sasa ndege moja ndio itaanzisha Airlines😂😂😂 hebu acheni upuuzi jamani. Hio ndege yeye auzie sura tu basi inatosha
Uzuri Diamond anajua kupigania ndoto zake. Kama Rollys Royce hater walikuwa wanasema hawezi, hatimae kapambana hadi katimiza ndoto, kaota ndegr kaipata.. Jamaa anaweza pigania ndoto
 
Uzuri Diamond anajua kupigania ndoto zake. Kama Rollys Royce hater walikuwa wanasema hawezi, hatimae kapambana hadi katimiza ndoto, kaota ndegr kaipata.. Jamaa anaweza pigania ndoto
Ni kweli kuipigania ndoto inawezekana ukiwa na vyanzo mkuu.
 
Huyu ni kijana wa kuigwa,sio kwa hustle hizo aisee,kila siku anafikiria jinsi ya kuongeza ukwasi wake tu,Allah ambariki sana
Diamond kawa chachu kwa wente ndoto, kaota ndoto nyingi kazipigani na kazitumiza. Mond hata akifa leo katendea kazi ndoto zake, anayo yafanya wengi hadi wanakufa wanaishia kuota
 
Vijembe virefu vya nini!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…