Kweli kabisa,vijana wana cha kujifunza kutoka kwa huyu bwanaDiamond kawa chachu kwa wente ndoto, kaota ndoto nyingi kazipigani na kazitumiza. Mond hata akifa leo katendea kazi ndoto zake, anayo yafanya wengi hadi wanakufa wanaishia kuota
We mwenyewe huna ajira, andaa CV yako niku connect ukaogeshe wazee americaKaa hapo hapo utazame show ya mtoto wa Tandale. Si mlisema hawezi nunua ndege sasa kaleta ndege na helicopter mbili na huu ni mwanzo tu.
Chakufanya mkuu edit CV yako yenye GPA first class nikuconnect ukale shavu kwa Chibu. Hasira hazijawai kuwa dawa.
๐๐๐ฅด๐ฅด sure, kuna kipindi rejection inaweza kutu push kufikia maximum zetu..Focus kweli namsifu hasa baada ya kulipa kisasi kwa bongo movie wote waliomkataaga ameamua kuwa tajiri sasa Self Made riches.
Ameshamalza starehe zote sasa ameamua kutulia ku focus na mambo mengine.๐๐๐ฅด๐ฅด sure, kuna kipindi rejection inaweza kutu push kufikia maximum zetu..
Ila raha sana kutimiza ndoto na kutimiza kila unachotaka ๐๐๐ kula ma pisi yote makali ambayo ulikuwa unaya admireAmeshamalza starehe zote sasa ameamua kutulia ku focus na mambo mengine.
Usisahau na helicopter Moja ๐คฃ๐คฃ๐คฃ, Amakweli anga linafunguliwa ๐๐๐Sasa ndege moja ndio itaanzisha Airlines๐๐๐ hebu acheni upuuzi jamani. Hio ndege yeye auzie sura tu basi inatosha
Serikali tu,ikileta ndege mbili,zinaehda kupokelewa na mawaziri hadi Rais,pale airport,tumsifu jamaa,anapambana jamani.Kuja kumpata msanii atakayefikia levo za mafanikio ya Diamond,ni ngumu sana.Airline ya ndege 1?
Kwa biashara zote anauwezo wa kuzianzisha lakini hapa kwenye usafiri wa anga hananuwezo huo, huku ni maji marefu munoooo!!!Natoa pongezi kwa msanii namba moja Afrika kwa sasa Diamond Platnumz kwa kununua vyombo vya anga. Biashara yake mpya anayokuja nayo ya Wasafi airlines itafungua milango ya ajira nyingi sana Tanzania na duniani kwa ujumla.
Watu tutaacha kupanda emirates na klm tutaanza kupanda ndege za kijana wa Tandale. Nitoe wito kwa vijana majobless kuanza kuandaa CV badala ya kushinda mnatukana mafanikio ya tajiri huyu mwenye umri kama wenu.
Hii biashara itaenda kuajiri marubani, hostess mpaka mainjinia mlio na madegree. Ili ni somo kwa vijana tuendelee kupambana kuzifikia ndoto zetu na tuheshimu talent. Hakuna kinachoshindikana. Hasira za kuyakosea maisha kuzishushia kwa Diamond wala sio dawa ya kutusogeza kimaisha.
Eeh sahizi jamaa yuko kwenye ile level ambayo kiuchumi tunaita economic freedom.Ila raha sana kutimiza ndoto na kutimiza kila unachotaka ๐๐๐ kula ma pisi yote makali ambayo ulikuwa unaya admire
Boss, sijawahi kuwa mshabiki wa maigizo ya maisha ya hawa waitwao "maarufu wetu"Sasa ndege moja ndio itaanzisha Airlines๐๐๐ hebu acheni upuuzi jamani. Hio ndege yeye auzie sura tu basi inatosha
Wapambe nux hawakosekani ukiwa star.Boss, sijawahi kuwa mshabiki wa maigizo ya maisha ya hawa waitwao "maarufu wetu"
Kweli akanunue helicopter ilhali hana pa kulala?
Narudia tena kote huko ni sawa anauwezo nako, lakini kwenye hili jitu linaloitwa usafiri wa anga ni jitu jingine!!hana uwezo nako kabisa!!halafu unaweza kukuta BABA LEVO, na yule mzee wa za ndaniii, ndio wanamwambia jilipue tu sisi ndio ma CEO'S wako!!etihad, emirates, klm , athiopian, waweze sisi lazima tutoboe tu!!Eeh sahizi jamaa yuko kwenye ile level ambayo kiuchumi tunaita economic freedom.
Anaweza lipa Air Tanzania izunguke angani wakati anafanya birthday party yake hata kwa masaa kadhaa ๐๐๐! Ni burudani ilioje hela inaingia kila sekunde kila dakika kila saa deals zinaingiza mtonyo.
Bado investments kibao Wasafi bet, Wasafi Tv, Wasafi Fm, Online Streaming yani mihela ni back to back inaingia. Branding ndio kila kitu biasharani.
Mi nikajua ana fleet ya ndege at least 5 au 10 kumbe ni moja?Sasa ndege moja ndio itaanzisha Airlines๐๐๐ hebu acheni upuuzi jamani. Hio ndege yeye auzie sura tu basi inatosha
Bila picha nichai
hajaweka tu bado?Umeniwahi!
Anafanya vzr,hatuna wivu nae,lakini wapo ma injinia wenye mpunga mrefu,wasafi wanasubili,Natoa pongezi kwa msanii namba moja Afrika kwa sasa Diamond Platnumz kwa kununua vyombo vya anga. Biashara yake mpya anayokuja nayo ya Wasafi airlines itafungua milango ya ajira nyingi sana Tanzania na duniani kwa ujumla.
Watu tutaacha kupanda emirates na klm tutaanza kupanda ndege za kijana wa Tandale. Nitoe wito kwa vijana majobless kuanza kuandaa CV badala ya kushinda mnatukana mafanikio ya tajiri huyu mwenye umri kama wenu.
Hii biashara itaenda kuajiri marubani, hostess mpaka mainjinia mlio na madegree. Ili ni somo kwa vijana tuendelee kupambana kuzifikia ndoto zetu na tuheshimu talent. Hakuna kinachoshindikana. Hasira za kuyakosea maisha kuzishushia kwa Diamond wala sio dawa ya kutusogeza kimaisha.