Hongera Diamond kwa kununua ndege na helicopter. Wasafi Airlines itazalisha ajira

Punguza hasira na kukata tamaa then uandike vizuri.
 
Mond hawezi nunua dege la bil 13 afu akawa na utajir wa bil 23
 
Punguza shobo kwa wanaume wenzio ipo siku utapakwa mafuta,ooh
 
Wengi wenye maneno ya shombo kama haya,ni wale wanaoamini kwa vile katokea kijana kutoka uswazi Kawa tajiri na mfanyabishara mkubwa basi usomi hauna maana,kwa vile tu wameajiliwa kwenye kampuni ya mtoto wa uswazi!!
Sasa ndugu zangu,kati ya watu milioni 60 bongo,Kuna vijana wangapi hao wa "tandale"wenye mkwanja mrefu kiasi kwamba wasomi wanaonekanq kama takataka?Unajua kwa wasomi kuwa tajiri sio jambo la kishangaza ni given,ila kwa kijana wa "tandale"ku ukwaa ukwasi ni ajabu ndio maana machawa wa kusifia wanakuwa wengi,
Vunjabei nae ni mtoto wa "tandale"?
Kama kuwa "mtoto"wa" tandale "ndio kupata ukwasi,wapo wapi kina Juma nature na tmk!mabaga fresh,Daz nundaz?
Acheni mbwembwe,usicheze na Elimu wewe
 
Mkuu tafuta pesa hakuna anaeshtuka na vyeti vyako siku hizi, pesa inapunguza kujieleza sana.

Siku ukija kujua ofisi walizo wasomi ni majengo yaliyojaza watu wenye stress na illusion. Utaheshimu sana wapambanaji walio kitaa maana wanatengeneza pesa ya ukweli bila mbambamba karibu sana kitaa mimi degree zangu mbili kidogo zinicheleweshe maisha
 
Wewe mtoto una akili za kijinga sana,unaponda wasomi kisha unamsifia Diamond kununua Ndege sijui Helikopta,

Hujui kua Ndege na Helikopta ni matokeo ya watu wenye elimu? hujui kua hivyo vifaa vya studio ni matokeo ya wenye elimu?

Matokeo ya elimu ya hao wasomi ndio yamekufanya wewe leo hii kua na hiyo Simu uliyonayo na kupata internet connection kisha ukawa na access ya kuja kutapika hapa,

Piga kimya ili kuficha upumbavu wako,umegeuka kua kituko hapa JF.
 
Hii nchi ina misekule ya aina tatu
Simba
Yanga
Na wcb
Yaani hawana filter wanabeba kila kitu watakachosikia kuna nchi tu hazina hizo ndege ila misekule kila kitu inaitikia tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…