computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,040
Hatimaye watu mna maonoUmemsifu, utamsababishia matatizo. Hapo barua yake ya kutumbuliwa ipo tayari. Linasubiriwa kosa moja tu, la kutafutia sababu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam Wana jamvi.
Napenda kumpongeza Naibu Waziri wa Afya kwa majibu na maelezo yake kuhusu suala la Covid-19. Dkt. Ndugulile amekuwa akitoa majibu na maelezo ya kitabibu zaidi kama ilivyo taaluma yake.
Kuhusu maelezo ya baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa kupinga matumizi ya barakoa, Dkt. Ndungulile amesisitiza matumizi ya barakoa. Kuhusu kujifukiza alitahdharisha madhara yanayoweza kutokea kwenye mfumo wa hewa kutokana na kujifukiza. Kwa kweli huyu msomi amekataa kuwa kasuku, amesimamia taaluma yake kuliko cheo chake.
Hongera Dkt Faustine Ndungulile maana katika hili la Covid-19 ukweli ndio utakaotusaidia badala ya siasa za kujikomba.
Nawasilisha.
InterestingUmemsifu, utamsababishia matatizo. Hapo barua yake ya kutumbuliwa ipo tayari. Linasubiriwa kosa moja tu, la kutafutia sababu.
Sent using Jamii Forums mobile app
YametimiaHuyu naye huenda akafukuzwa kama alivyofukuzwa Dr Mpoki Ulisubisya baada ya kumtibu lisu
Yametimia[emoji54]Umemsifu, utamsababishia matatizo. Hapo barua yake ya kutumbuliwa ipo tayari. Linasubiriwa kosa moja tu, la kutafutia sababu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani JK alitupa mtu wa ajabu sana....Tulishatabiri mengi sana humu na yote yalitimia...Kweli imetimia
yeah, nafikiria hivyo pia. Anakuwa huru zaidi kusema kitaaluma badala ya kisiasa. Kwenye siasa ni mwiko kukosoa wakubwa.....kwenye taaluma ni hoja zaidi ndio zinasimama....kukosoana ndio msingi wa maendeleo na ugunduzi.Kwanza yeye mwenyewe kafurahi kutenguliwa
Katumbuliwa,nafasi yake kapewa Mollel wa SihaSalaam Wana jamvi.
Napenda kumpongeza Naibu Waziri wa Afya kwa majibu na maelezo yake kuhusu suala la Covid-19. Dkt. Ndugulile amekuwa akitoa majibu na maelezo ya kitabibu zaidi kama ilivyo taaluma yake.
Kuhusu maelezo ya baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa kupinga matumizi ya barakoa, Dkt. Ndungulile amesisitiza matumizi ya barakoa. Kuhusu kujifukiza alitahdharisha madhara yanayoweza kutokea kwenye mfumo wa hewa kutokana na kujifukiza. Kwa kweli huyu msomi amekataa kuwa kasuku, amesimamia taaluma yake kuliko cheo chake.
Hongera Dkt Faustine Ndungulile maana katika hili la Covid-19 ukweli ndio utakaotusaidia badala ya siasa za kujikomba.
Nawasilisha.
Maandazi Republic..This is banana republic
UmemponzaNaunga mkono hoja, huyu jamaa alianza siku nyingi, angalia tarehe ya bandiko hili⁶
"Watanzania Tunaishi Kwa Kudra Za Mwenyezi Mungu Tuu!"-Mhe. Dr. Faustine Ndungulile. Jee ni Kweli?. - JamiiForums
P
No it's not me!.Umemponza
Umemsifu, utamsababishia matatizo. Hapo barua yake ya kutumbuliwa ipo tayari. Linasubiriwa kosa moja tu, la kutafutia sababu.
Sent using Jamii Forums mobile app