Hongera Haji Manara kwa kupewa kazi ya usemaji wa kampuni ya Tigo

Utabisha ila ukweli ndio huo.

Hata kwenye Siasa.. si mnawekaga watu amabao hawafiti na ni nafasi nyeti kabisa?
Kwanini asifit? Anafit tu. Kama Joti anaweza itangaza kwanini yeye ashindwe kuisemea? Anapewa script, anaipitia anaita waandishi anawapa habari watumiaji wa Tigo anapewa mshahara wake. Akifanya makosa anawajibishwa. Mambo si magumu.
 
Bora Manara kuliko Waziri anaesimamia bando zinaibiwa kila siku na anafifisha ukuaji wa matumizi wa mtandao na yupo kimya...
 
Utabisha ila ukweli ndio huo.

Hata kwenye Siasa.. si mnawekaga watu amabao hawafiti na ni nafasi nyeti kabisa?
Vyeti ni wewe na mambo ya kizamani....Nimekupa mfano kazi za pesa nyingi zinahitaji kipaji sio vyeti kama hao madokta wengi ni njaa kali na mshahara wao wa kawaida kibongo bongo.
 
Kwanini asifit? Anafit tu. Kama Joti anaweza itangaza kwanini yeye ashindwe kuisemea? Anapewa script, anaipitia anaita waandishi anawapa habari watumiaji wa Tigo anapewa mshahara wake. Akifanya makosa anawajibishwa. Mambo si magumu.
Aisee
 
Kiingilishi kinapanda?...

Elimu ya Telecom ipo? Ok.
Exposure je?......

Anewei.. hongera kwake.
Dunia sasa watu hawangalii vyeti mkuu ni skills ndio zitakubeba, ommy dimpoz yupo pale gsm na analipwa kuliko hao wasomi wa marketing na anafanya kazi kubwa dunia ya sasa imebadilika , same as haji manara wameona numbers anazoleta kwenye brand, simba ilikuwa inatisha enzi zake alikuwa anawVunja kisaikolojia timu pinzani na kujion dhaifu , hicho ndio kipaji alichopewa na mungu
 
Mungu akitaka kukupa hata barua hakuandikiii... ial walimwengu watakushatakia mpaka kwa waganga
 
Bro kwenye maisha yako napo una complicate namna hii. This is too much for this position. Kwa experience yake kwenye media na career ya habari nadhani hapa hauhitaji mtu mwenye vyote hivyo.
 
Manara anajua kuhamasisha...yupo vizuri kwenye hilo....Tigo hainaga jambo dogo inachukua influencers ndyo maana wapo na Milard Ayo,Hamisa na zamani Joti
 
Binafsi huyu jamaa hajawahi kunjfanyia baya lolote ila nafsi yangu iligoma kumsamehe tokea aondoke simba na maneno ya kashfa kwa mo dewji na barbra

Kwa kifupi huyu jamaa sio muungwana ni mshenzi ila ndio ivo siku iz washenzi ndio wanatakiwa kwenye jamii ukiwa muungwana watu hawataki kukupa shavu
 
Kwahiyo wewe na hao wenye hiyo kampuni ambao wamemuajiri huyo nani kati yenu anauelewa mkubwa juu ya hayo?
 

Corporate and brand communications ni professional job,Zina ethics zake , hongera zake haji, ila atahitaji orientation nzito, siyo kazi ya vijora ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…