Hongera Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa kuistukia Tume ya Uchaguzi (NEC)

Hahahaa Mjanja kawashitukia wahuni
 
Hii thread in title nzuri sana , ila haina substance. Ni Vigumu kujua thread inasimamia kitu gani.
 
Halafu hao wahuni wangesema hata Chadema waliyakubali marekebisho na hawakuwa na nyongeza ya marekebisho na Katibu Mkuu wao ALISAINI na saini yake hii hapa. PUMBAVU wakubwa.
Walijuwa wanatapata Ruber stamping🤣🤣wamekwama
 
Wewe bwege kweli,kwahiyo itawasidia kubaki kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani?[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnyika amefanya jambo zuri sana kuweka wazi hizo jambo. Na cdm wahakikishe hawakubali kuburuzwa kwa chochote. Tena ilitakiwa aongelee na tume huru ya uchaguzi humo ndani.
 
Wale wengine walisha saini kitambo
Mnyika amefanya jambo zuri sana kuweka wazi hizo jambo. Na cdm wahakikishe hawakubali kuburuzwa kwa chochote. Tena ilitakiwa aongelee na tume huru ya uchaguzi humo ndani.
 
Ubunge wenywe awamu ijayo kashaupoteza atarud kuendelea kuuza mkaa kama zamani
 
Hivi kwani kila mtanzania anaendesha maisha yake kupitia posho na mshahara wa bunge?
Ubunge wenywe awamu ijayo kashaupoteza atarud kuendelea kuuza mkaa kama zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…