Hongera kwa Bruno Gomes kwa kuasili (adopt )mtoto pale Singida

Humu humu ndiyo pazuri Mkuu, unapelekwa Mtwara kula ming'oko au unapelekwa Morogoro ukale magimbi au unapelekwa Mwanza ukale Sato [emoji28]

Wahi kujaza fomu uniletee mapema [emoji125][emoji125]

Mwache alete pozi atakuja kutafuta nafasi za bariadi akute zimeshajaa
 
Umeshawaza mambo ya upinde tayari
Nimetoa tahadhari mapemaaa, hamkawiii baadae mtoto kapotoka muanze kusema ndo alitaka mtoto aharibike, kwan wabongo wana jema sasa.
 
Acha urongo brazilian wengi ni roman catholic
 
Wengi ni wote? Soma uelewe kabla hujakurupuka. Halafu sijasema ninawafahamu wabrazil wote nimesema wengi nanaowafahamu.
Brazil 70% ni RC,the rest ni protestant,makanisa ya kilokole hayafiki asilimia mbili
 
Mzungu mzungu tu,usikute jamaa hana mshahara mkubwa wala maisha makubwa lkn moyo wa kusaidia anao,akina sisi sasa ndugu tu humtaki
Umeongea hoja kubwa Sana Sisi weusi ni watu wenye roho mbaya sana. Mfano mdogo tu wengi hua tunatamani kuzamia nchi za dunia ya Kwanza na tupeww uraia lakini hebu fikiria mfano Kibu Denis kuna watu hua wanaumia kupewa uraia ya nchi masikini kama Tanzania. Hata inafika steji anatukanwa stars isipofanya poa, sio Kwa kiwango chake Bali asili yake.. [emoji28]
 
unamtindio sio bure
hilo ni shoga achana nalo kama mi muongo lifatilie humu kwny thread zote anachoandka n zle za kufukuliwa mavi. Ni shoga huyo hata uspoteze muda nae hapo linaombea uyo mtoto achague kuwa choko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…