Hongera kwa Wabunge na Viongozi wa Upinzani waliogoma kuuza utu wao

Lakini kipindi cha kwanza kwenye mechi hii ilikuwa syo mchezo DK 45 zilikuwa balaaa
Mpaka sahv tushapigwa 2-0 [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja tuone second half itakuwaje

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hongera na wewe kwa kuliona hilo na kuwapongeza hao mashujaa wa watanzania.

Hao ndiyo wanahitaji nishani ya uvumilivu na ndiyo wanajeshi watiifu kwa taifa lao.
 
Baadhi ya wabunge duni walionunuliwa hadi kwa kiasi cha tsh mil 800 !
 
Return ya kutokea jasho ni ya thamani sana kuliko return ya kukubali kununuliwa kama mtumwa.
Ilà tu ukumbuke mpwa hakuna "career" inayolipa kwa sasa hapa nchini kama siasa. Hata wateswe vipi, wafungwe vipi lakini return yake hailinganishwi.
 
Ubarikiwe sana mkuu
Hakika wanastahili pongezi za dhati kwa majaribu makubwa na mateso mliyoyapata lakini hamkuuza utu wenu,wasiopata majaribu ndio wamekimbia na kuusaliti upinzani Aibu yao Historia itawakumbuka
 
Waitara sasa hivi kesha anza kupandisha pressure kwa yaliyo mtokea kwenye jimbo analo taka agombee maana wazee wa kimila wamemwambia kabisa kuwa hawamtambui.
Malaya hawatarudi angalia Waitaraaa anavyoteseka.Tuna mifano michache sana mpira wa kiume kurudiwa.
 
Ili kufanikisha hilo hatutakiwi kukata tamaa kutokana na mbinu chafu za lumumba, no tupambane tukapige kura.
Kabisa, imekuwa miaka 5 ya kidikteta na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu tusiruhusu tena mambo haya.
 
Pambalu ameliita Bunge la 11 ni Bunge La Ndugai maana lipo tofauti na mabunge mengine hili Bunge la ndugai baada ya kuisimamia serikali lenyewe ndio linasimamiwa na kupewa maelekezo kutoka serikalini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…